INAUZWA Nauza genuine wino wa printer

DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
944
1,253
Habari wadau, nimefunga biashara yangu ya Stationery hivyo nauza wino zilizopo.

CE0505A - 05A Black kwa HP 2035 na HP 2055 Bei ni 180,000 kila moja zipo 3.

C-EXV 33 Black kwa Canon Image Runner 2520, 2525 na 2530 zipo 4 bei kwa moja ni 120,000.

Pia kuna printer ya HP Color LaserJet Pro MFP M477fnw kwa ajili ya spare au kama utaweza kutengeneza maana bado inafanya kazi ila inafinya karatasi bei ya hii ni 300,000 Mawasiliano njoo DM.

20240213_104013.jpg
20240213_104037.jpg
20231016_210023.jpg
 
Mkuu umezunguka kitaa na kuangalia bei elekezi ni kiasi gani kwa hizo wino ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom