Mwaga wino hapa

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
Toa maoni
gwanda.JPG
 
Hivi si hawa hawa jamaa waliokuwa wanasema
"magwanda" ya chama fulani ni yanaonyesha ukatili, fujo? sasa huyu gamba zito amevaa nini hapa?..halafu tukio lenyewe sasa??

Either ni wanafiki au hamnazo,..and i hope it is the later!
 
Huyu wa mbele kabisa kushoto mbona kavaa kofia ja jeshi la Polisi? Hii ni sawa kweli wana JF?
 
Magamba kazini,sasa kazi imehamia kwenye misiba ambayo hata haiwahusu.
 
Kuna watu ni wajinga kwelikweli. Mwangalie hata emotionally alivyo tofauti na wenzie.

Shame on you magamba.
 
Kuna watu ni wajinga kwelikweli. Mwangalie hata emotionally alivyo tofauti na wenzie.

Shame on you magamba.
Anawaza kula pilau la msibani, kisha kupewa posha ya elfu 2 na nauli buku.....!poor magamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom