Mwafrika ni nyani akiyechangamka

Mwafrika ni nyani akiyechangamka

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,299
Reaction score
15,026
Kiukwel kupitia matendo ya viongoz wetu wa nchi za kiafrika anzia Uganda rwanda na nch zote za kiafrika matendo yao yanafanana Sana kujipendelea kutotaka Kutoka madarakani kufuja pesa za uma kwa matumiz binafsi upendeleo wa Kaz za umma

Mambo haya yote yanafanya tuonekane wapuuzi

Viongoz wetu hawapend kushauriwa Wala kuchukua hatua had pale mambo yakiharibika

Tatizo la maji Tanzania kila mtu anashangaa tuna maziwa makuu 3 viktoria tanganyika na nyasa bado maziwa madogo madogo lakn ajabu hapo mwanza kigoma au Ruvuma wanatatizo la maji

Wakat wa tatzo la maji hapa dsm dawasa walitoa tangazo wenye visima wasiuze maji Sasa unajiuliza Hawa n watu au nyani.
 
Screenshot_20221115-203140.jpg
 
Tena afadhali Nyani, anaweza kumudu kuiba mahindi akalisha famila yake. These so called presidents can not make any tangible achievements for their people!@ Yapo ku consolidate power kutawala milele!

Nilisema kama kuna kosa kubwa, tena kubwa alilifanya Mungu ni Kumuumba mwafrika!
 
Kuna yule Rais wa Cameroon, Paul Biya sasa yupo madarakani zaidi ya miaka 40 na muda mwingi yupo anaishi Ufaransa. Yaaani Africa ni bara jeusi kwelikweli
Huyu ndio kavunja Record ya Guinness, sio poa kamzidi hadi Hayati Mugabe
 
Maji yapo, kila kitu kimepangwa na kinakwenda kama kilivyopangwa, unataka kuniambia huo ukame umekuja awamu hii tu?
 
Naunga mkono hoja, maana Kuna raisi wa nchi Fulani anasafiri Kila siku, anadai anakwenda kutafutia Hela ya kuendeleza nchi yake
 
Kuna yule Rais wa Cameroon, Paul Biya sasa yupo madarakani zaidi ya miaka 40 na muda mwingi yupo anaishi Ufaransa. Yaaani Africa ni bara jeusi kwelikweli
Mtoto wa George Wheah ambaye ni rais wa Liberia nchi iliyoko Africa aenda kuchezea timu ya mpira wa miguu ya Marekani na Baba yake yuko comfortable kabisa!

Yaani hata familia ya rais wa Liberia haiamini katika taifa analoliongoza rais wao.

Hii inatokea Africa tu
 
Back
Top Bottom