Mwafrika Miaka 19

Mwafrika Miaka 19

Sidhani kama alidanganya umri ... kwa zamani, yes ilikuwa rahisi/waafrika wengi tulikuwa tunafanya hivyo.

Alishiriki kombe la dunia la vijana wa U17 huko UAE mwaka 2013 ambapo NIGERIA ilibeba ndoo, na ni kipindi ambacho teknolojia ya kuwapima umri vijana "mamluki" ilikuwa imeanza kutumika, hivyo ni lazima angedakwa in case alifoji umri.

Haya ya kuushambuliia MWONEKANO wake yanaibuka kipindi hiki ambacho anaonekana/kupigiwa chapuo kuwa no. 1 wa NIGERIA huko URUSI.

Kuna wazungu wana mwonekano zaidi ya huyu na tunapoambiwa wana miaka 18 huwa hatubishi, ila kwa kuwa huyu ni mwenzetu hatumuamini.

Anyways,
 
jamaa dingi sana hilo
 
Daah mkuu embu recheki hii sura!!!
Sawa lkn wacha tusibishane na makaratasil
 
Back
Top Bottom