Kuna kautofauti kidogo mkuu kuna mmoja amekomaa mpaka machoSasa huyu na Polepole tofauti nini
[emoji23][emoji23][emoji23] eti revolutionNadhani ni nature yetu tuu, revolution bado inafanya kazi watoto wanaozaliwa sikuizi wanasura mororo
Hev goalkeeper anaekipga europeUgumu wa maisha nao huwa unachangia
Huko europ kaenda lini mkuu? Isijekua mtu ana mwaka mmoja tuHev goalkeeper anaekipga europe
Tena laliga inamaana hata gol keep
Wa TP mazembe anaweza kumpita
kwa maisha mazur
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Uhakiki wa vyeti ulianzaga hivihivi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Age is nothing but a number!
Huyu akifikisha 30 atakuwa sawa na Mugabe!
Hahah hapa hapana, fuvu halidanganyi.[emoji38] [emoji38] View attachment 727715
Sura ya mchezaji haisadifu yaliyomoAmeyumbaje mkuu
[emoji26]