Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Huyu hapa maskini hata maana ya "otherwise" haifahamu. Halafu badala ya kuomba kujulishwa anafoka kwa confidence zote.

Nikisema ni Maimuna anaye celebrate ignorance msinishangae.


Everything is for the sake of argumet to sane people, that's why sane people doubt.

:becky::becky::becky::becky: sane people!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Khaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
:becky::becky::becky::becky: sane people!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Khaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hizi ndizo posts ulizobakiza, full viroja, zero hoja.

Unapigwa Jiujitsu mpaka kwenye signature yako mwenyewe!

Who gets to say "Sane people!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!" now?
 
Sikuwa namaanisha jina!
Na unamaanisha nini unaposema mimi ni binadamu na NINA mwili?

Sasa mkuu wewe hujui mwili au? Ni hivi

cell + cell = tissue,
tissue+tissue=organ,
organ+organ=body (mwili) na huu ndo mwili ninaomaanisha na nilio nao.

Nijibu maswali yangu kwanza naona unataka kubadili mada hapa.

Mungu anasikika? Hilo ndo lilikuwa swali langu.
 
Hizi ndizo posts ulizobakiza, full viroja, zero hoja.

Unapigwa Jiujitsu mpaka kwenye signature yako mwenyewe!

Who gets to say "Sane people!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!" now?


:becky::becky::becky::becky:

Kwisha habari yako!

th'seor ore de ologone derosa ol dhadong!!!!!!!!!!!

Ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
 

Nope!
Sibadilishi mada
Maswali yako nitayajibu yote

Kuna jambo nataka kulielewa kwenye maelezo yako
Umesema "huu ndio mwili ninaomaanisha nilionao

Hii inamaanisha WEWE ndio unaumiliki huo mwili
Hapo maana yake[kwa ufahamu wangu] WEWE na huo mwili ni tofauti
Yaani WEWE sio huo mwili,bali mmiliki wa huo mwili!
Kama vile unavyokuwa mmiliki wa gari
Unaposema hili ni gari langu,maana yake WEWE ndio mmiliki wa hilo gari
Sasa nataka kujua WEWE ni nini?
Nani?
Uko wapi?
 

Sasa hapo unataka kuchanganya mwili na nafsi,
Nakanusha kwa mara nyingne kwamba mim ni binadamu na si mwili.

Ila nina mwili, hapa namaanisha nafsi yangu iko ndan ya mwili nilionao.
Mim ni nafsi iliyo ndan ya mwili wangu.

Mim(nafsi yangu) si mwili ila niko ndani ya mwili,
Mfano, unapomiliki nyumba na ukawa ndan ya nyumba haimaanishi kwamba wewe ni nyumba.
 

Sasa angalau tunaweza kuzungumza vyema

Sasa wewe ni nafisi au wewe ni kitu gani?
Na hiyo nafsi inatoka wapi/ni nini?
Kama wewe sio mwili je WEWE unaweza kuishi nje ya mwili huo?
 
By Eiyer

Sasa wewe ni nafisi au wewe ni kitu gani?

Hili nshajibu, Mim ni nafsi iliyo ndan ya mwili wangu,

Na hiyo nafsi inatoka wapi/ni nini?

nafsi nimezaliwa nayo, kwa hyo imetoka kwa wazazi wangu.

Na hiyo nafsi ndo mim mwenyewe niliye ndan ya mwili wangu.

Najua unataka kusema imetoka kwa Mungu, sikubalian na hili kwa sababu hakuna ushahidi.

Kama wewe sio mwili je WEWE unaweza kuishi nje ya mwili huo?

Mim si mwili ila siwezi kuishi nje ya huo mwili, Bila ya kuwa na mwili mim sijakamilika ni lazima niwe na mwili ndo nikamilike kuwa binadamu,

Mfano, Softiware hawezi fanya kazi bila hardware and vice versa,
Kwa hyo hapa nafsi ni software na mwili ni hardware.

Kwa hiyo software kwa sababu iko ndani ya hardware huwez kusema software ni hardware.
 
Last edited by a moderator:
Tiketi ya kuwa ombaomba anashindwa kuitumia, that's what narrow minded people have
 

Ahaa, sasa hapo kwenye red inaonyesha ndio kwanza umeanza kuzinduka kidogo. Lakini hapo kwenye blue bado unajichanganya! Mfano wako ulioutoa ni sahihi kabisa kwani nyie mnaoamini kuwa Mt. Kilimanjaro uko SINGIDA na sisi tunaosema uko RUKWA kumbe wote TUKO WRONG, and therefore based on this, no one can claim to be right maana kiukweli huo Mlima hauko Singida wala Rukwa! Sasa ubishi na madai ya ushahidi kutoka pande hizi mbili unaanzia pale nyie mnaoamini kuwa huwa Mlima uko Singida (mungu wenu) mlipoanza kutuzuga eti kwa ushahidi kuwa kwa vile Singida kuna baridi sana basi ndio maana mna kila sababu ya kuamini kuwa huo mlima uko Singida! Ushahidi wa namna hii hutolewa na -------- tu kwani hata Makambako ambako huwa kuna baridi kali kuliko Singida hakuna mlima mkubwa kama Kilimanjaro. Sasa nyie mliotumia mfano wa kijana mlemavu wa mkono kuweza kusukuma mkokoteni na kusema huo ndio ushahidi wa kuwa Mungu yupo (hence kauli yenu Mwacheni Mungu Aitwe Mungu) ni sawa kabisa na mjinga anayeamini kuwa palipo na baridi kali basi ni lazima kuna Mlima mkubwa sana mahali hapo! SNa ndio maana sisi tukawa tunapinga maana tuna ushahidi thabiti kuwa si kila palipo na baridi kali (in this analogy: kiumbe kilemavu) eti maana yake imesababishwa na uwepo wa Mlima Mkubwa sana (in this analogy: huyo Mungu wenu). Sasa kati ya pande hizi mbili, ni upi una hoja za kijinga kama sio uendawazimu kama unavyodai wewe? Eti Kiranga, kweli huyu Eiyer anaelewa anachokisema au anasema asichokielewa?
 

Kijana wakati unaandika hii ulikuwa unasinzia au?
Hapo hakuna red wala bluu

Halafu hujaelewa chochote kabisa!!
Kakojoe ulale kijana!
 
Kijana wakati unaandika hii ulikuwa unasinzia au?
Hapo hakuna red wala bluu

Halafu hujaelewa chochote kabisa!!
Kakojoe ulale kijana!
Are you colour blind? Then note the points, don't look for the colours! Nonsense!
 
Si huyo anafananishwa na mtu aliyekatika mikono.mungu asifiwae kwa kuunda matatizo.
 

Poor mind!
 
Poor mind!

Poorer still is that which condems liberally and generally without an iota of specifics.

Hujajibu hoja, umeleta kioja.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aruhusiwe kuachilia watu wachinjwechinjwe tu kwa mabilioni, na kisha hapo tumsifie na kumsujudu, lakini Uhuru Kenyatta ambaye hana uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote tunampeleka ICC kwa machafuko ya Wakenya tu ambayo yana pale in comparison tukiyaweka kulinganishwa na mauaji yaliyofanywa chini ya watch ya mungu??
 
nilimnyima jamaa pesa juzi. Haiwezekani mtu unamikono na miguu yote unajibebesha mauchafu na kuvaa nguo zilizochanika kutafuta huruma za watu ki
sha unaomba msaada.'

the guy is inspiring
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…