DAFU NA NDIMU JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,496 Reaction score 5,101 Sep 17, 2016 #61 Wewe wala hujajadili CHADEMA mkuu. Naona umejadili issues hapa
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,974 Sep 17, 2016 #62 Lazima wajadili watu sababu wao ni wazee wa kuangalia sura, sio sera.
nra2303 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,972 Reaction score 2,549 Sep 17, 2016 #63 Leo ni jumamosi,ushafanya usafi?? Tupige kwanza kazi,tena wewe ndio unataka tumdiscuss apa sasa huoni wewe ndio mwenye small mind??
Leo ni jumamosi,ushafanya usafi?? Tupige kwanza kazi,tena wewe ndio unataka tumdiscuss apa sasa huoni wewe ndio mwenye small mind??
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,914 Reaction score 136,877 Sep 17, 2016 #64 Tsh 7000*siku 7=49000 Naona maisha yanasonga mkuu OVA
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,264 Sep 17, 2016 #65 Na wewe ndio unaoongoza kwa kuijadili Chadema.
MUGASHA THE HERO JF-Expert Member Joined Mar 22, 2016 Posts 327 Reaction score 205 Sep 17, 2016 #66 Umesahau ccm wanavomjadili lowasa tangu mwaka jana? Au ndio ule usemi wa nyani haoni.....
swalehe shiza JF-Expert Member Joined Jun 3, 2016 Posts 1,616 Reaction score 2,386 Sep 17, 2016 #67 Ebale said: Hivi si nasikia anakwenda kuhufhuria UN general assembly jtatu Click to expand... Mkalimani amepatikana?
Ebale said: Hivi si nasikia anakwenda kuhufhuria UN general assembly jtatu Click to expand... Mkalimani amepatikana?