Wakati tunamuacha afanye kazi obvious atakuwa anaingiza kipato!!!
Tuambie sisi tuwe tunafanya nini mkuu zingatia kuwa kazi nduhu!!!!
Naifananisha na kujitekenya ili kupata nafasi ya kucheka. ... kwa kuwa ati ni raisi anaende kufanya mikutano ya kukijenga chama chake na kuzuia wengine wasifanye mikutano kama yeye ati huu ni mda wa kufanya kazi. .. hivi iyo mikutano na hao wanaomsikiliza anawafata mashamban au maofisini wakifanya kazi au ndo maanake nini???
Sababu za kubumba. Yeye mwoga. Akisikia CHADEMA tu anakosa amani.Ww utakua ni mwanafunzi wa special plogram kule dodoma kwa akili zako unadhani kuandamana kwenda ikulu pekee ndo kunaweza kusababisha kusumbua popote Rais ni watanzania nzima popote mtakapo andamana kukapeleakea watu kutofanya kaz zao ipasavyo ni shida ndo mana nasema tumwache afanye kaz
Mboyoyo nyingi kelele...Upo sahihi kabisa,tumwache mkuu apige kazi full stop...hawa wanaompinga hata mimi nipo tayari kuwa shungulikia
Hoja yangu mm ni kwamba tumwache afanye kazi kwani awam iliyopita waliruusiwa kufanya yote ayo mwisho wa cku wakatufikisha walipotufikisha uwezo mkuu wa nchi aliyepita ndo umefanya taifa ili kuendelea kua imara la sivyo walikua wanatugawa haohao wakasema kikwete nchi imemshinda wakasema aje dikteta Mungu katupa magufuli leo hii povu linawatoka wamweche afanye kaz kwa sababu ndo waliyemtakaMuongozo wa vyama vya siasa uko wazi
Usomeni hapa kuhusu suala la mikutano na maandamano.
Muongozo wa vyama vya siasa uko wazi
Usomeni hapa kuhusu suala la mikutano na maandamano.
Safi sana ila mimi nashauri majengo yapangishwe itafitwe kampuni itakayofanya hivyo kwa niaba ya serekali!Habari zenu wanaukawa, wanacmm na watanzania kwa ujumla wasio na vyama kama mimi.
Kumekuwa na mabandiko yasiyo na idadi katika jukwaa letu pendwa hili ya kumpinga na kumkosoa mh Rais mimi nasema tumwache afanye kazi na tumsaport kwan miaka mitano iliyopita kwenye jukwaa hilihili na wachangiaji walewale kwa mabandiko kibao walisema Mh Kikwete Rais wa awamu iliyopita nchi imemshinda na wengine wakafika mbali zaidi wakasema nchi hii inaitaji kuongozwa na mtu mwenye element za kidikteta. Mungu katupa Rais tuliyemtaka sasa kelele za nini. Kwa nin nasema Rais tuliyemtaka;
1. Kuuza majengo ya serkali yaliyopo Dar serikali ikishaamia Dodoma na kujenga majengo ya aina iyo Dom kwa ili mkuu wa nchi apongezwe tatizo ni kuyauza na asijenge ila ana jenge tena ya aina iyo au zaidi yake sasa nyie mnaotaka yasiuzwe mnataka yajae popo au!, eti kuna wengine wanapendekeza yapangishwe ndg zangu serkali haifanyi biashara aisee wana Dar es salaam lazima tuanze kubadil mentality Dar inabaki kua mji wa biashara tu.
2. Tulitaka Rais dikteta Mungu katupatia ambaye ata robo ya dikteta afiki je tungepewa uyo full dikteta si mngeishakimbia nchi. Tungepewa yule full dicteta ambaye ukitaja kidogo kutaka uenyeki wa chama ujue utafte mlango wa kutokea ingekuwaje.
3.Kuzuia siasa miaka kumi iliyopita chini ya Rais wetu kipenzi Mh kikwete mlipewa nafasi ya kutosha mwisho mkataka kuipeleka nchi pabaya kama si uwezo wa yule mzee kisiasa sijui tungekuwa wap mkatuaminisha mafisadi papa leo ndo mnataka kuwapa nchi chini ya chama chenu alafu mnataka kutuletea siasa uchwara wakati wa kaz ebu tupen mda tufanye kazi mtatuletea hao mafisadi papa 2020 ili tuwakatae tena.
Tumwache mh Rais afanye kaz kwani anatekeleza yale aliyotuaidi alisema atadeal na ufisadi sote ni mashahidi. Wateule wake wakizingua hawaamishii sehem nyingine zaidi ya kuwatimua tunaona, elimu bure tunaona, uwajibikaji serikalini tunaona sasa kelele za nini
Hoja yangu mm ni kwamba tumwache afanye kazi kwani awam iliyopita waliruusiwa kufanya yote ayo mwisho wa cku wakatufikisha walipotufikisha uwezo mkuu wa nchi aliyepita ndo umefanya taifa ili kuendelea kua imara la sivyo walikua wanatugawa haohao wakasema kikwete nchi imemshinda wakasema aje dikteta Mungu katupa magufuli leo hii povu linawatoka wamweche afanye kaz kwa sababu ndo waliyemtaka
Urais ni taasisi isiyo na maamuzi kwenye kila kitu..kumbuka kuna bunge na baraza la mawaziri na taasisi nyingine nyetiHabari zenu wanaukawa, wanacmm na watanzania kwa ujumla wasio na vyama kama mimi.
Kumekuwa na mabandiko yasiyo na idadi katika jukwaa letu pendwa hili ya kumpinga na kumkosoa mh Rais mimi nasema tumwache afanye kazi na tumsaport kwan miaka mitano iliyopita kwenye jukwaa hilihili na wachangiaji walewale kwa mabandiko kibao walisema Mh Kikwete Rais wa awamu iliyopita nchi imemshinda na wengine wakafika mbali zaidi wakasema nchi hii inaitaji kuongozwa na mtu mwenye element za kidikteta. Mungu katupa Rais tuliyemtaka sasa kelele za nini. Kwa nin nasema Rais tuliyemtaka;
1. Kuuza majengo ya serkali yaliyopo Dar serikali ikishaamia Dodoma na kujenga majengo ya aina iyo Dom kwa ili mkuu wa nchi apongezwe tatizo ni kuyauza na asijenge ila ana jenge tena ya aina iyo au zaidi yake sasa nyie mnaotaka yasiuzwe mnataka yajae popo au!, eti kuna wengine wanapendekeza yapangishwe ndg zangu serkali haifanyi biashara aisee wana Dar es salaam lazima tuanze kubadil mentality Dar inabaki kua mji wa biashara tu.
2. Tulitaka Rais dikteta Mungu katupatia ambaye ata robo ya dikteta afiki je tungepewa uyo full dikteta si mngeishakimbia nchi. Tungepewa yule full dicteta ambaye ukitaja kidogo kutaka uenyeki wa chama ujue utafte mlango wa kutokea ingekuwaje.
3.Kuzuia siasa miaka kumi iliyopita chini ya Rais wetu kipenzi Mh kikwete mlipewa nafasi ya kutosha mwisho mkataka kuipeleka nchi pabaya kama si uwezo wa yule mzee kisiasa sijui tungekuwa wap mkatuaminisha mafisadi papa leo ndo mnataka kuwapa nchi chini ya chama chenu alafu mnataka kutuletea siasa uchwara wakati wa kaz ebu tupen mda tufanye kazi mtatuletea hao mafisadi papa 2020 ili tuwakatae tena.
Tumwache mh Rais afanye kaz kwani anatekeleza yale aliyotuaidi alisema atadeal na ufisadi sote ni mashahidi. Wateule wake wakizingua hawaamishii sehem nyingine zaidi ya kuwatimua tunaona, elimu bure tunaona, uwajibikaji serikalini tunaona sasa kelele za nini
Hakuna aliyemzuia kufanya kazi yake, tunachokitaka ni kwamba na yeye aache wenzie wafanye kazi zao!
Au wewe unakubali kuwa walioshinda majimboni ndo wana haki ya kufanya mikutano katika majimbo hayo tu?
Kwa mfano ACT wafanye mikutano Kigoma mjini peke yake lakini ni marufuku kuifanya Ilala kwa Zungu?
Urais ni taasisi isiyo na maamuzi kwenye kila kitu..kumbuka kuna bunge na baraza la mawaziri na taasisi nyingine nyeti