PreGE2025 Mwabukusi: Tunamtaka Mdude akiwa hai

PreGE2025 Mwabukusi: Tunamtaka Mdude akiwa hai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ile damu iliyoonekana imevuja Toka kwa Mdude wkt anapigwa na kuburutwa kutolewa nyumbani kwake,ni damu nyingi,na kama iliendelea kuvuja kwa kiwango kile ni hatari. Jamaa anaweza asiwepo duniani.
exectly, ile damu ilikuwa nyingi sana.
 
anaongelea twita, si aende mbeya akaonane na rco, majina ya wahusika mumeshapewa
Naam. Hao ndio "askari wa Samia" kubaki madarakani kwa gharama yoyote, hata ya damu ya waTanzania kumwagika.

Sasa elewa hivi: damu ya waTanzania kamwe haitamwagwa kiholelela, kwa sisi kwa sisi kushikana makoo.
Tutawatafuta hao hao "askari wa Samia" wenyewe; kikundi kidogo kabisa na kukidhibiti.

Wasipokuwa na akili za kujirudi haraka, damu yao ndiyo itakayo mwagika, siyo ya waTanzania.

Hebu kumbusha tena, wote RC na RCO ni askari wa Samia Mbeya?
 
Mwabukusi ni moja ya watu wenye kufaa sana katika jamii yetu.
1. msomi
2. mwenye ujasiri
3. mzalendo
4. mwenye msimamo
5. anayefaa kupewa uongozi mkubwa zaidi wa nchi.

Tuwapate wa hivi 100, Tanganyika iamke!!!!!!
Unadhani huyu pakiwaka moto atakuwa mstari wa mbele? Kwa hayo maneno mazito aliyosema naamini atakuwa mbele kabisa, au wewe unaonaje? Kwenye maandamano sikumuona popote huyu
 
Watekelezaji wa uhalifu mbaya kama huu mbali na kuanzisha Operesheni za kulipa Kisasi dhidi ya Wahalifu hao. Kulipa Visasi ndio njia pekee kabisa ya kuweza kukomesha USHETANI huu.
"Unalipa kisasi kwa "MTEKELEZAJI"; mbwa anayetumwa na mfuga mbwa, unamwacha mfugaji wa mbwa mwenyewe; itakusaidia kitu gani?
Suluhisho pekee lililobaki ni kulipa Kisasi ili angalau kutuliza mioyo ya Watu ambao wamejeruhiwa vibaya sana na uhalifu huu mbaya
Njia sahihi ni kuwatambua kwa uhakika wanaotoa maagizo ya kufanyika matendo hayo ovu na kuwashughulikia hao hao moja kwa moja.
Hawa siyo watu wengi; ni kikundi kidogo sana kinachoagiza na kusimamia matukio haya ya kishetani.
 
"Unalipa kisasi kwa "MTEKELEZAJI"; mbwa anayetumwa na mfuga mbwa, unamwacha mfugaji wa mbwa mwenyewe; itakusaidia kitu gani?

Njia sahihi ni kuwatambua kwa uhakika wanaotoa maagizo ya kufanyika matendo hayo ovu na kuwashughulikia hao hao moja kwa moja.
Hawa siyo watu wengi; ni kikundi kidogo sana kinachoagiza na kusimamia matukio haya ya kishetani.

Aliyewahi kuwa Rais wa Utawala wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini Bw. Pieter W. Botha pia alikuwa anamiliki Magenge ya Wahalifu wanaoteka Watu na kuua kwenye nchi hiyo. Lakini Wapiganaji wa Chama Cha ANC napo walipoanza mashambulizi ya kulipiza Visasi dhidi ya Watekaji hao na kuwaua, Watekaji wenyewe walikuwa wanaogopa kwenda kuwashambulia Watu mitaani. Hata Rais Botha mwenyewe aliingiwa na hofu baada ya kuona kwamba Watu Wake walikuwa wanauawa kwa wingi Sana.

Rais huyo aliogopa kwenda kufanyia kazi zake katika Ikulu yake iliyopo Mjini Pretoria, badala yake aliitelekeza Ikulu hiyo na kwenda kufanyia kazi zake katika Ikulu za Mafichoni zilizokuwepo Jijini Johannesburg ili kuwakwepa Wapiganaji wa ANC wasiweze kumfuatilia, kumfikia na kumshambulia yeye. Kamwe, alikuwa hafanyi kabisa Mikutano ya hadhara, muda mwingi sana wa Utawala wake alikuwa yupo mafichoni. Hata misafara yake ilikuwa haina Ving'ora, siku zote kabisa katika Utawala wake alikuwa anasafiri na misafara ya kimya kimya bila Wananchi kujua kwamba Rais wa nchi hiyo anapita.

Zaidi Sana alikuwa anapendelea zaidi kufanya mikutano ya ndani na Wazungu wenzake, Umma ulikuwa unajulishwa kupitia kwenye Matangazo ya kwenye Television.
 
Aliyewahi kuwa Rais wa Utawala wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini Bw. Pieter W. Botha pia alikuwa anamiliki Magenge ya Wahalifu wanaoteka Watu na kuua kwenye nchi hiyo. Lakini Wapiganaji wa Chama Cha ANC napo walipoanza mashambulizi ya kulipiza Visasi dhidi ya Watekaji hao na kuwaua, Watekaji wenyewe walikuwa wanaogopa kwenda kuwashambulia Watu mitaani.Hata Rais Botha mwenyewe aliingiwa na hofu baada ya kuona kwamba Watu Wake walikuwa wanauawa kwa wingi Sana. Rais huyo aliogopa kwenda kufanyia kazi zake katika Ikulu yake iliyopo Mjini Pretoria, badala yake aliitelekeza Ikulu hiyo na kwenda kufanyia kazi zake katika Ikulu za Mafichoni zilizokuwepo Jijini Johannesburg ili kuwakwepa Wapiganaji wa ANC wasiweze kumfuatilia, kumfikia na kumshambulia yeye. Kamwe, alikuwa hafanyi kabisa Mikutano ya hadhara, muda mwingi sana wa Utawala wake alikuwa yupo mafichoni. Hata misafara yake ilikuwa haina Ving'ora, siku zote kabisa katika Utawala wake alikuwa anasafiri na misafara ya kimya kimya bila Wananchi kujua kwamba Rais wa nchi hiyo anapita.
Kimsingi hakuna tofauti kati yetu.
Hapa kwetu wanaotekeleza haya ni kikosi maalum ndani ya polisi. Viongozi wa kikundi hiki wanajulikana, siyo wengi.
Mikoani wasimamizi ni wakuu wa Mikoa, ambao ndio wenye viti wa Usalama wa maeneo hayo. Hakuna kinachofanyika ndani ya mikoa yao wao wasiwe na taarifa nacho. Na hata kwenye mikoa huko, siyo kila polisi ni muhusika na matukio ya aina hii. Kuna watu maalum na viongozi wao.

Ninacho sema hapa, tofauti na hali ya Afrika Kusini uliyo ieleza; huko kulikuwa tayari na mapambano makali ya kivita. ANC lilikuwa na jeshi lililokuwa miongoni mwa wananchi. They were organized, ndiyo maana iliwezekana kufanya kama uelezavyo hapo juu.

Hapa kwetu hakuna muundo wa aina yoyote ya kupambana na CCM na serikali yake na vyombo vyake vyenye silaha. Lakini namna kikundi hiki cha wachache kinavyozidi kushamiri, nasi raia ni muhimu tujue njia za kujikinga nacho. Njia rahisi zaidi kwetu kwa wakati uliopo, si kushambulia polisi wote kila mahali tunapo waona. Itakuwa ni bora zaidi ku-pinpoint target maalum tulizo nazo karibu, zinazosababisha matukio haya mabaya.

Njia hii ikienea kote nchini, nina hakika italazimisha hao wanaofaidika na uharamia huu kujirudi. Sasa hivi wana free ride, na ni kama free ride hiyo inafurahiwa na inachochea matukio haya yazidi kuenea, na kutia hofu kubwa, ambalo ndilo lengo lake kuu.
 
Mwabukusi ni moja ya watu wenye kufaa sana katika jamii yetu.
1. msomi
2. mwenye ujasiri
3. mzalendo
4. mwenye msimamo
5. anayefaa kupewa uongozi mkubwa zaidi wa nchi.

Tuwapate wa hivi 100, Tanganyika iamke!!!!!!
Aliposhinda uraisi TLS niliweka kijiwe kule Temeke mpaka saa nane usiku nikinywa Konyagi na nyama na kumshukuru Mungu.
 
Naam. Hao ndio "askari wa Samia" kubaki madarakani kwa gharama yoyote, hata ya damu ya waTanzania kumwagika.

Sasa elewa hivi: damu ya waTanzania kamwe haitamwagwa kiholelela, kwa sisi kwa sisi kushikana makoo.
Tutawatafuta hao hao "askari wa Samia" wenyewe; kikundi kidogo kabisa na kukidhibiti.

Wasipokuwa na akili za kujirudi haraka, damu yao ndiyo itakayo mwagika, siyo ya waTanzania.

Hebu kumbusha tena, wote RC na RCO ni askari wa Samia Mbeya?
hao taskforce hawajaanza leo, na hakuna cha kuwafanya
 
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa mwanaharakati Mdude Nyagali anapatikana akiwa hai, huku akilaani vikali kauli ya kutolewa zawadi ya Shilingi milioni tano kwa atakayesaidia kupatikana kwake akiwa hai au mfu.

“Tumesikia na kuona maafisa wa polisi kutoka Makao Makuu wakishughulikia suala la Mdude, lakini pia tumeshuhudia tangazo lililosambazwa mitandaoni kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiahidi zawadi ya Shilingi Milioni Tano kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Mdude – eti akiwa hai au amekufa. Hili haliingii akilini,” amesema Mwabukusi kupitia chapisho lake katika mtandao wa X siku ya Jumanne.

Amesisitiza kuwa Mdude siyo jambazi, mwizi wala mhalifu wa kawaida, bali ni mwanaharakati ambaye adui zake wakuu ni wale wasio na uvumilivu wa kukosolewa.

“Msimamo wetu kama Rafiki za Mdude ni mmoja: Tunamtaka Mdude akiwa hai. Kama kuna kosa lolote, ashitakiwe kwa mujibu wa sheria. Hatuwezi kuvumilia taifa linalogeuka kuwa la mateso na vitisho kwa wanaoikosoa serikali,” ameongeza.

Aidha Mwabukusi ametahadharisha kuwa uvumilivu wa wananchi unafikia ukingoni, na kama ukweli kuhusu kupotea kwa Mdude hautatolewa haraka, hatua kali zaidi zitachukuliwa.

“Tunaendelea kujitahidi kuwa na hekima kabla ya kufikia ukomo wake. Bila Mdude na majibu yanayoeleweka kuhusu nani anawateka Watanganyika, punde tutafikia mahali pa kuchora mstari na kutafuta suluhisho mikononi mwetu. Mungu atakuwa upande wetu, Katiba itakuwa upande wetu, sheria itakuwa upande wetu, na jumuiya za kimataifa zitakuwa upande wetu”, ameeleza huku akimalizia kwa maneno yenye hamasa kubwa: “Sisi siyo njiwa tunduni, sisi ni tai kichaa.”

Siku ya Jumatatu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera alisema kuwa tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali, huku akiahidi Tsh Milioni 5 kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa.

Akizungumza baada ya viongozi wa CHADEMA mkoani humo na Kanda ya Nyasa kufika ofisini kwake kujua hatua zilizochukuliwa, Dkt. Homera alisema yupo pamoja na chama hicho kuhakikisha
View attachment 3326037
Source: Jambo TV

Soma pia Pre GE2025 - RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
Mdude hawezi kupatikana tena akiwa hai wala maiti yake. Hawa magaidi walimuulia pale pale kwake na kisha kutokomea na maiti kwenda kulisha mamba wao.
 
Aliyewahi kuwa Rais wa Utawala wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini Bw. Pieter W. Botha pia alikuwa anamiliki Magenge ya Wahalifu wanaoteka Watu na kuua kwenye nchi hiyo. Lakini Wapiganaji wa Chama Cha ANC napo walipoanza mashambulizi ya kulipiza Visasi dhidi ya Watekaji hao na kuwaua, Watekaji wenyewe walikuwa wanaogopa kwenda kuwashambulia Watu mitaani.Hata Rais Botha mwenyewe aliingiwa na hofu baada ya kuona kwamba Watu Wake walikuwa wanauawa kwa wingi Sana. Rais huyo aliogopa kwenda kufanyia kazi zake katika Ikulu yake iliyopo Mjini Pretoria, badala yake aliitelekeza Ikulu hiyo na kwenda kufanyia kazi zake katika Ikulu za Mafichoni zilizokuwepo Jijini Johannesburg ili kuwakwepa Wapiganaji wa ANC wasiweze kumfuatilia, kumfikia na kumshambulia yeye. Kamwe, alikuwa hafanyi kabisa Mikutano ya hadhara, muda mwingi sana wa Utawala wake alikuwa yupo mafichoni. Hata misafara yake ilikuwa haina Ving'ora, siku zote kabisa katika Utawala wake alikuwa anasafiri na misafara ya kimya kimya bila Wananchi kujua kwamba Rais wa nchi hiyo anapita.
Zaidi Sana alikuwa anapendelea zaidi kufanya mikutano ya ndani na Wazungu wenzake, Umma ulikuwa unajulishwa kupitia kwenye Matangazo ya kwenye Television.
Kwahiyo na hapa ndio mnamuwinda mama?
 
Dahhh....😥
R.i.P Mawazo....😪
Hapa Geita bado tuna kukumbuka sana...
 
mkuu chama cha Bortha cha DA ndo chama tawala kwa sasa ulishajiuliza ni kwanini? mandela aliwekwa strategically SA ipate support ya nchi za africa walete vitega uchumi vyao
 
hao taskforce hawajaanza leo, na hakuna cha kuwafanya
Kama wewe ni mmoja wao anza kujitafakari matendo mnayowafanyia waTanzania na ubadilike.

"Hakuna cha kuwafanya"?
Chukulia mfano wewe mwenyewe hapo; unadhani hakuna cha kukufanya kwa misimamo yako hii ya kuwafarakanisha waTanzania kwa misingi ya kidini tu?
Mbona ni rahisi sana kumdhibiti mtu kama wewe!
 
Wewe nyumbu unauwezo huo? Mtandao Warrior!
 
Back
Top Bottom