Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,640
- 5,522
Vipi mpendawa!naona umetulia,unawaza nini?usihofu kama ni gari tengeneza hata la udongo na kama ni ndege nunua hata njiwa na wewe ujidai.
Mimi mwenzio sina mawazo tena,ninamiliki nyumba tatu,mbili za kawaida na moja ya gorofa zote za kuchora kwenye karatasi.,mvuvi hakua mjinga kuchonga mtumbwi,nae alitamani meli!Siku njema.