Mvuvi anapovuliwa.....

Mvuvi anapovuliwa.....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
.........
attachment.php
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    48.9 KB · Views: 1,416
Hahahahaha bora ang'ate hata jicho but sio hapo
 
.........


Huyu ananyonywa bwanaaaaaa. Kunyonya ananyonya mbwa wa kizungu sembuse haka kasamaki? Tena nasikia hata mamba siku hizi wanafundishwa kunyonya wazungu huko Ulaya. Wazungu bwanaaa, kwa kupenda kunyonywa?
 
Samaki huyu hang'ati bali ananyonya tu na kuondoka zake,hamjui kuwa samaki wengine nao wana tabia za ki..............!!
 
E bwana Ziwa Rukwa kuna samaki anaitwa "kachinga", dental formular yake kama ya paka, ukiogelea uchi basi ujue "kifanyio" chako halali yake
huyo ni mwenyeji wa kusini atakuwa halafu ni mfupi ndo maana kuna neno ka.
 
Back
Top Bottom