Mvuto wa mapenzi

Mvuto wa mapenzi

Yap kwa asilimia fulani kuna ukweli ndani yake japo wapo wenye mapenzi ya kweli tofauti na kipato cha mwanaume,ila kwa wanaume sura au mvuto wa mwanamke ndio hasa chanzo cha mahusiano kuliko kipato cha mwanamke........
 
I love your openness
 
Yawezekana kweili au si kweli, kuna mwanamke ni mke wa mtu na wanakipato kizuri sana. Huyo mwanamke ametokea kunipenda sana kuliko hata mumewe, amenizidi kila kitu kuanzia elimu mpaka kipato. Anatamani hata leo amtilie mumewe sumu afe ili aweze kuishi na mimi. Sasa huo utafiti wenu mbona kwangu kama haujafanya kazi yoyote na utaniaminisha vipi nikubali ?. Siyo huyo tu yupo mwingine nilipanga nyumba kwake lakini hakuwa ameolewa japo alikuwa na mshkj wake, sijawahi kumpa chochote na sikuwa hata na pesa lakini alitokea kunipenda mpaka kodi ya nyumba sikuwa nalipa na chakula ananipikia yeye kwa gharama zake wala sijwahi kumwomba anipikie. Nilidumu naye kwa miaka 4 hajawahi kuniomba pesa na nilikuwa namgegeda NITAKAVYO. Sasa hayo matafiti yenu mnayatoa wapi mkuu ?
 
Ni kweri kama mwanaume huna pesa ni shida, utadanganywa nakupenda hivyo ulivyo, ukimpa kisogo tu linafuata neno "Nyooo lione ovyoo! Kila siku sina pesa kafie mbele"
 
Yawezekana kweili au si kweli, kuna mwanamke ni mke wa mtu na wanakipato kizuri sana. Huyo mwanamke ametokea kunipenda sana kuliko hata mumewe, amenizidi kila kitu kuanzia elimu mpaka kipato. Anatamani hata leo amtilie mumewe sumu afe ili aweze kuishi na mimi. Sasa huo utafiti wenu mbona kwangu kama haujafanya kazi yoyote na utaniaminisha vipi nikubali ?. Siyo huyo tu yupo mwingine nilipanga nyumba kwake lakini hakuwa ameolewa japo alikuwa na mshkj wake, sijawahi kumpa chochote na sikuwa hata na pesa lakini alitokea kunipenda mpaka kodi ya nyumba sikuwa nalipa na chakula ananipikia yeye kwa gharama zake wala sijwahi kumwomba anipikie. Nilidumu naye kwa miaka 4 hajawahi kuniomba pesa na nilikuwa namgegeda NITAKAVYO. Sasa hayo matafiti yenu mnayatoa wapi mkuu ?

Alikwambia umuoe? Au alikutamani tuu?!
 
huyo mwanzo alikuwa mtu mzima alikuwa amependa niwe namgegeda mwanzo mwisho mana alikuwa na hisia kali sana juu yangu, sikuweza kumuoa mana alinizidi miaka 15. Huyu wa sasa ni mke wa mtu na mpaka sasa hivi yupo tayari kwa lolote aachike ili nimuoe. sasa mimi ni mtu wa dini sana siwezi kuoa mke wa mtu. Sasa sijajua mkuu kama amenitamani au anamaanisha kweli, wewe ni mtu mzima hebu fikiria hayo niliyokuambia utapata majibu yako
 
huyo mwanzo alikuwa mtu mzima alikuwa amependa niwe namgegeda mwanzo mwisho mana alikuwa na hisia kali sana juu yangu, sikuweza kumuoa mana alinizidi miaka 15. Huyu wa sasa ni mke wa mtu na mpaka sasa hivi yupo tayari kwa lolote aachike ili nimuoe. sasa mimi ni mtu wa dini sana siwezi kuoa mke wa mtu. Sasa sijajua mkuu kama amenitamani au anamaanisha kweli, wewe ni mtu mzima hebu fikiria hayo niliyokuambia utapata majibu yako[/QUOTE

Hahahahaaaa ... Ogopa dhambi mkuu
 
Back
Top Bottom