Mvuto wa mapenzi

Mvuto wa mapenzi

huyo mwanzo alikuwa mtu mzima alikuwa amependa niwe namgegeda mwanzo mwisho mana alikuwa na hisia kali sana juu yangu, sikuweza kumuoa mana alinizidi miaka 15. Huyu wa sasa ni mke wa mtu na mpaka sasa hivi yupo tayari kwa lolote aachike ili nimuoe. sasa mimi ni mtu wa dini sana siwezi kuoa mke wa mtu. Sasa sijajua mkuu kama amenitamani au anamaanisha kweli, wewe ni mtu mzima hebu fikiria hayo niliyokuambia utapata majibu yako[/QUOTE

Hahahahaaaa ... Ogopa dhambi mkuu
Ni kweli unachoongea ni kweli kabisa, naogopa sana dhambi maana mie ni mkristo pia nasali sana, niko kwenye mchakato mkali sana wa kumwacha japo sio rahisi kwake ila nitahakikisha anampenda bwana ake
 
Omba msaada wa Mungu, vunja mtandao huo wa ngono kwa damu ya Yesu
 
maana yake ni kwamba mwanamke apende asipende itaingia ndiyo maana tunaangalia pesa... mwanaume bila mvuto wa nje na upendo haisimami kwa hiyo haitaingia ndiyo maana yake

HAKIKA Utakuwa na akili kubwa, nilikuwa sijawahi kutambua kwa namna ulivyoielezea, NI KWELI KABISA
 
Back
Top Bottom