Hhahahaha jana nilikuwa nazurura humu jamvin nikakutana na hiyo madaThread ya 2012 imeibuliwa Leo tena.!
Me nilijua ya Leo au mwaka huu.!Hhahahaha jana nilikuwa nazurura humu jamvin nikakutana na hiyo mada
baby macho yako yasimuone mwingine zaidi yangu eeeeh. mwaaaaahMe nilijua ya Leo au mwaka huu.!
mavi ya kale hayanuki mupenziThread ya 2012 imeibuliwa Leo tena.!
hahahahhahahah!!!! hujatulia.mungu akupi vyote kakupa kibamia kakupendelea macho hongera
Mwaaaah. Hamna mwingine zaidi yako baby.!baby macho yako yasimuone mwingine zaidi yangu eeeeh. mwaaaaah
mimi ni kijana mwanaume niliyekamilika na nin avigezo vyote vyakuitwa mwanaume.
charming n bright.good job and engaged
tatizo langu ni macho.nina macho makubwa.mviringo mithili ya gololi fulani.yana utelezi mzuri na mbaya zaidi macho yangu kila nikitazamana na mtu yanakua yanaongea.
yanaongea mbaya zaidi ni kama yanasema lets go to bed.hii inanicost sana.
imenitokea siku izi kila nikianza kuongea hasa ishu za ofisi nakua nakwepa sana eye contact..hasa na mabint....naonekana kama mtu ambaye ana aibu kwa sasa...kisa tu nakwepa eye contact....inshort najistukia!!
nishauri nitafute miwani japo siumwi macho au?eye contact zinanishinda sasa...kila nikimkazia jicho mtu naonekana nipo kimahaba mahaba...macho yangu nasifiwa kweli ni mazuri..ila naanza kuyachukia!!
alimalizia kunihadithia rafiki yangu uyu..........................uyu ndugu kweli ana macho mazuri.na mabinti walikua wanamsifia sana enzi nasoma nae....nimemsahuri atafute miwani japo ya kuzugia.sijui mna ushauri gani.
Duh! Ndiyo maana wanaume wa Dar kusemwa sana, namna hii hizi si dalili kabisa za ubwabwa!mimi ni kijana mwanaume niliyekamilika na nin avigezo vyote vyakuitwa mwanaume.