Mvuto wa macho yangu hadi najiskia vibaya

Mvuto wa macho yangu hadi najiskia vibaya

Ina maana hata ukiwatazama wanaume macho yako ni kama yanawaambia "twende mahali"? Samahani nauliza tu! Kama ndivyo pole! Kuna mitaa hupaswi kupita!
 
Huwa najiuliza kila siku hizi takwimu kwamba wanawake ni wengi hapa nchini kuliko wanaume zimekaaje? Maaana ukienda workplaces ,schools and colleges wanaume ni wengi sana. Kumbe nililisahau na hili kundi,,,anyway anaejua idadi ya wanaume tuliobaki naomba ani pm [emoji83][emoji83][emoji83][emoji83]
 
Back
Top Bottom