mimi ni kijana mwanaume niliyekamilika na nin avigezo vyote vyakuitwa mwanaume.
charming n bright.good job and engaged
tatizo langu ni macho.nina macho makubwa.mviringo mithili ya gololi fulani.yana utelezi mzuri na mbaya zaidi macho yangu kila nikitazamana na mtu yanakua yanaongea.
yanaongea mbaya zaidi ni kama yanasema lets go to bed.hii inanicost sana.
imenitokea siku izi kila nikianza kuongea hasa ishu za ofisi nakua nakwepa sana eye contact..hasa na mabint....naonekana kama mtu ambaye ana aibu kwa sasa...kisa tu nakwepa eye contact....inshort najistukia!!
nishauri nitafute miwani japo siumwi macho au?eye contact zinanishinda sasa...kila nikimkazia jicho mtu naonekana nipo kimahaba mahaba...macho yangu nasifiwa kweli ni mazuri..ila naanza kuyachukia!!
alimalizia kunihadithia rafiki yangu uyu..........................uyu ndugu kweli ana macho mazuri.na mabinti walikua wanamsifia sana enzi nasoma nae....nimemsahuri atafute miwani japo ya kuzugia.sijui mna ushauri gani.
Hivi macho yana utelezi??
Una tatizo kama langu..yaani wasichana wengi wananiambia macho yangu ya ukweli..pamoja na nyusi.. Ila wanaume hawasemi hizi mambo.. Sijisikii poa kwakweli..maushauri tafwadhali..
Una tatizo kama langu..yaani wasichana wengi wananiambia macho yangu ya ukweli..pamoja na nyusi.. Ila wanaume hawasemi hizi mambo.. Sijisikii poa kwakweli..maushauri tafwadhali..
hujiskii poa iweje uongee hapa sasa.achen ushoga nyie.eboo
Mhhhh nimeshindwa kucomment napita tuu ngoja kwanza nikapunge upepo nje
David cameroon yuko wapi aje ajichukulie viumbe wake.
Na ungekomenti vibaya ningekulamba ban!Mhhhh nimeshindwa kucomment napita tuu ngoja kwanza nikapunge upepo nje
Hehehe.... anatumia zile mbinu za enzi zetu.... Unajitapa unakikojoleo kikubwa na kitamu ili mashori wajilenge...manina wallah!Umeshaapokea PM ngapi?
Tupe feedback basi.
Hii trick imelipa?
Chezeya utelezi weye.....:cool2:Hivi macho yana utelezi??
Na ungekomenti vibaya ningekulamba ban!
Ila wajameni, hii tabia ya wanaume kujisifia uzuri, haina uhusiano na Dave Cameroon?:A S-frusty2: