Mvuto wa macho yangu hadi najiskia vibaya

Hehehe.... anatumia zile mbinu za enzi zetu.... Unajitapa unakikojoleo kikubwa na kitamu ili mashori wajilenge...manina wallah!
Anapita tulikotoka kitaaaambo,afu hizi trick zimekuwa nyingi sana.

Chezeya utelezi weye.....:cool2:
Huyu ntampeleka ziwa Victoria, akaote utelezi wa macho ya sato.
Ile unashangaa shangaa, kitu kimetumbukia kooni.
 
Anapita tulikotoka kitaaaambo,afu hizi trick zimekuwa nyingi sana.


Huyu ntampeleka ziwa Victoria, akaote utelezi wa macho ya sato.
Ile unashangaa shangaa, kitu kimetumbukia kooni.
Hapa unamaanisha koo lipi?
 
wewe kaka sio siri nisamehe lakini nahisi una matatizo fulani fulani hivi.Hapa unaonesha kabisa kuwa unajisifia na una lengo la kuwaeleza watu (fulani)wajue kuwa una macho ya aina fulani.
Mim nimekushitukia ,unahitaji msaada,sio kawaida kukuta mwanaume rijali akijisifia kama ulivyofanya hapa.
Mwanaume mzima unakaa hapa kujisifia sijui macho yangu yana utelezi mzuri,sijui yanaongea,sijui lest go to bed.Hayo yakujipigia debe masuala ya uzuri achia dada zako wanaotafuta wachumba.Kama unayachukia hayo macho yako vaa yale mawani ya wachomea welding ili tujue kweli unayachukia.
 
watoto wa kiume wanatamani kufanana na dada zao wakati dada zao wanatamani kufanana na wazungu wakati wazungu wanatamani kuwa na mamlaka aliyonayo mungu juu ya binadamu huyu anaejisifia hapa eti ana macho mzuri ni mtoto anaejiita wa kiume hv kweli kuna vitu mwanaume anaweza kujicfia eti ana macho ya mahaba?????? nadhani tanzania kwa sasa tuna new breeds tena inakuwa kwa kasi ya 4G ya watoto wenye njinsia ya kiume lakini wanahisia za jinsia ya kike
 
Back
Top Bottom