Mvuto wa macho yangu hadi najiskia vibaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvuto wa macho yangu hadi najiskia vibaya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Mar 14, 2012.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  mimi ni kijana mwanaume niliyekamilika na nin avigezo vyote vyakuitwa mwanaume.

  charming n bright.good job and engaged

  tatizo langu ni macho.nina macho makubwa.mviringo mithili ya gololi fulani.yana utelezi mzuri na mbaya zaidi macho yangu kila nikitazamana na mtu yanakua yanaongea.

  yanaongea mbaya zaidi ni kama yanasema lets go to bed.hii inanicost sana.

  imenitokea siku izi kila nikianza kuongea hasa ishu za ofisi nakua nakwepa sana eye contact..hasa na mabint....naonekana kama mtu ambaye ana aibu kwa sasa...kisa tu nakwepa eye contact....inshort najistukia!!

  nishauri nitafute miwani japo siumwi macho au?eye contact zinanishinda sasa...kila nikimkazia jicho mtu naonekana nipo kimahaba mahaba...macho yangu nasifiwa kweli ni mazuri..ila naanza kuyachukia!!

  alimalizia kunihadithia rafiki yangu uyu..........................uyu ndugu kweli ana macho mazuri.na mabinti walikua wanamsifia sana enzi nasoma nae....nimemsahuri atafute miwani japo ya kuzugia.sijui mna ushauri gani.
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Ungekuwa na Makengeza kama yangu ungefurahi?
   
 3. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mhhhh nimeshindwa kucomment napita tuu ngoja kwanza nikapunge upepo nje
   
 4. M

  Ma Tuma Senior Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  macho umepewa na mungu jivunie usivae miwani.je isije kuwa ni macho kumchuzi?(makengeza)
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Dah, feel ya!

  Usijali, ukizeeka wala hayo macho hayatakuwa tena hivyo.
  Wala hakuna mtu atakayeyanotisi
  Ni ujanani zaidi.

  Mbaya zaidi, hata ukifanya crime ukiwa na kundi, wewe ni rahisi kushikwa.
  Watu wanakumbuka sana macho unique
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ni pm kesho
   
 7. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  duh... mwanamme kujisifia macho tena; huyu si mwanamme ni wakiume
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Au avatar ya younger master.

   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ahhhhhhhh! sijui nikwambiee!
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Omba Mungu usikutane na mabasha ya Magomeni
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Akitembea maeneo ya Magomeni lazima wazee wa Dar es salaam wanyoke nae
  Unakumbuka ishalipiwa yakhee
   
 12. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ukianza kuloose confidence mbele ya wanawake ni dalili za kuanza kuelekea kwenye"upunga".Kila mtu ni mzuri kwa jinsi alivyoumbwa.
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikapate supu ya kongoro nje hapo maana wavulana wamezidi sana siku hizi humu na wanaume wanazidi kuwa wachache
  Unajisifia macho yako mazuri na yana mvuto
  Nenda basi kunakohusika ambako wanayapenda macho kama hayo
   
 14. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ...sitii neno hapa...
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  We Kongosho ngoja mwenyewe aje hapa umuueleze kuhusu macho yake kwenye avatar
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwambie ayapunguze mvuto. . .
  Mbona wengine wenye macho na lips zakuvutia sana hawaombi ushauri wa "nini nifanye" ????!
   
 17. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wewe kaka sio siri nisamehe lakini nahisi una matatizo fulani fulani hivi.Hapa unaonesha kabisa kuwa unajisifia na una lengo la kuwaeleza watu (fulani)wajue kuwa una macho ya aina fulani.
  Mim nimekushitukia ,unahitaji msaada,sio kawaida kukuta mwanaume rijali akijisifia kama ulivyofanya hapa.
  Mwanaume mzima unakaa hapa kujisifia sijui macho yangu yana utelezi mzuri,sijui yanaongea,sijui lest go to bed.Hayo yakujipigia debe masuala ya uzuri achia dada zako wanaotafuta wachumba.Kama unayachukia hayo macho yako vaa yale mawani ya wachomea welding ili tujue kweli unayachukia.
   
 18. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ngoja Nijambe nitarudi,Mx
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  He he he, wewe Mr. Rock umepotelea wapi?
  Au avatar zinanchanganya??

  Ile avatar macho yake yamelegea kweli
  Kama kungu hivi
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe.

   
Loading...