Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe.
Wengine wanabweka mpaka wanapitiliza sasa. . .Yani kama ni ukumbi wa harusi kazidisha mapambo.
Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe.
Weka picha tuthibitishe madai yak0mimi ni kijana mwanaume niliyekamilika na nin avigezo vyote vyakuitwa mwanaume.
charming n bright.good job and engaged
tatizo langu ni macho.nina macho makubwa.mviringo mithili ya gololi fulani.yana utelezi mzuri na mbaya zaidi macho yangu kila nikitazamana na mtu yanakua yanaongea.
yanaongea mbaya zaidi ni kama yanasema lets go to bed.hii inanicost sana.
imenitokea siku izi kila nikianza kuongea hasa ishu za ofisi nakua nakwepa sana eye contact..hasa na mabint....naonekana kama mtu ambaye ana aibu kwa sasa...kisa tu nakwepa eye contact....inshort najistukia!!
nishauri nitafute miwani japo siumwi macho au?eye contact zinanishinda sasa...kila nikimkazia jicho mtu naonekana nipo kimahaba mahaba...macho yangu nasifiwa kweli ni mazuri..ila naanza kuyachukia!!
alimalizia kunihadithia rafiki yangu uyu..........................uyu ndugu kweli ana macho mazuri.na mabinti walikua wanamsifia sana enzi nasoma nae....nimemsahuri atafute miwani japo ya kuzugia.sijui mna ushauri gani.
He he he, wewe Mr. Rock umepotelea wapi?
Au avatar zinanchanganya??
Ile avatar macho yake yamelegea kweli
Kama kungu hivi
mimi ni kijana mwanaume niliyekamilika na nin avigezo vyote vyakuitwa mwanaume.
charming n bright.good job and engaged
tatizo langu ni macho.nina macho makubwa.mviringo mithili ya gololi fulani.yana utelezi mzuri na mbaya zaidi macho yangu kila nikitazamana na mtu yanakua yanaongea.
yanaongea mbaya zaidi ni kama yanasema lets go to bed.hii inanicost sana.
imenitokea siku izi kila nikianza kuongea hasa ishu za ofisi nakua nakwepa sana eye contact..hasa na mabint....naonekana kama mtu ambaye ana aibu kwa sasa...kisa tu nakwepa eye contact....inshort najistukia!!
nishauri nitafute miwani japo siumwi macho au?eye contact zinanishinda sasa...kila nikimkazia jicho mtu naonekana nipo kimahaba mahaba...macho yangu nasifiwa kweli ni mazuri..ila naanza kuyachukia!!
alimalizia kunihadithia rafiki yangu uyu..........................uyu ndugu kweli ana macho mazuri.na mabinti walikua wanamsifia sana enzi nasoma nae....nimemsahuri atafute miwani japo ya kuzugia.sijui mna ushauri gani.
kwa kawaida kama mwanaume ni handsome unaweza hata usijijue
first wanawake hawakwambii live
wanano'ngona tu wenyewe kwa wenyewe
halafu wanaume wenzio watakuponda au kuku tease
huwezi jua kuwa kumbe una mvuto kwa wadada
unless uwe na njaa sana ya kuwavutia wadada...
mostly guys walio na mvuto hawajui na wakijua hona aibu hata kuzungumza...