Mvuto wa Kitovu cha mwanamke

Mvuto wa Kitovu cha mwanamke

Hao huwa ni wanaume ila hivyo vya kike wanajiongezea either surgery or medical/ tablets
Eg boobs,booty

Una mke wako anakuja na rafiki yake nyumban ukidhan ni she kumbe shemale
Toba.... Kumbe ni wanaume wale....?! Mbona sasa ni wazuri na wanavutia sana.... Uwiiiiii tumekwisha.....

Sasa yule akikutana na mwanamke akilala nae si anampa ujauzito ama?!
 
Ndio anampa ujauzito,

Dada ukikutana na hao wamevaa skirt,gauni for the first time unaweza kutangaza ndoa aisee cha muhimu kuwa makini na marafiki wa kike
 
Mimi sijawahi kuona natamani nijionee kwa macho yangu mawili........ Tanzania wapo kwani?!
 
😂😂😂 wapo humfahamu James delicious na genge lake?
Nao ndio wanakoelekea

Shemale kimuonekano kwa umbo na sura huwa za kike kabisaa
Gay anaweza kuwa sura konk lkn kazi zao zinafanana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wapo humfahamu James delicious na genge lake?
Nao ndio wanakoelekea

Shemale kimuonekano kwa umbo na sura huwa za kike kabisaa
Gay anaweza kuwa sura konk lkn kazi zao zinafanana
Mmmmmmmhmn
 
Na kitovu ka picha ya kwanza Ila sijawahi vutiwa na kitovu changu hata Cha mwanamke mwenzangu
 
Ngoja nirudi nikaone hiyo picha ya kwanza aisee, maana daah navyo kukubali mrembo, hapa nitakuwa kama nimeokuona vile.
 
Na kitovu ka picha ya kwanza Ila sijawahi vutiwa na kitovu changu hata Cha mwanamke mwenzangu
Imebidi ni-scroll hadi juu nione kilivyo, we haya tu[emoji23][emoji23]
 
Kazi kweli kweli unawatamani wanawake wenzio 🙆‍♂️
 
Mmmmmmhmn huu uzi ni kesi, hapa nimedinda balaa nasoma uzi napata hamu mwanzo mwisho. Bi dada unatutafuta nini waja.....
 
Back
Top Bottom