Mvuto wa Kitovu cha mwanamke

Mvuto wa Kitovu cha mwanamke

Picha ya kwanza na ya tatu, vitovu vyao na maumbo ya tumbo vinavutia sana..... Wanavitovu amazing.....
Unajua usipoacha hiyo tabia yako ya kupenda vitovu vya wanawake wenzio utakuwa na tabia mbaya ?[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cha kwako ni kipi kwanza?, afu umesema huwa hadi unapata hamu ya kukilalia kitovu cha mwanamke mwenzio?? Unakoelekea si kuzuri punguza kasi.

Afu hizo picha ni za flat tummies ama vitovu?, mbona hamna wenye vitambi hapo au hawana vitovu[emoji2369]
Huku kwetu ni vita, baba kimbofa mama kimbofa 🤣🤣🤣
 
labda ungetuma matumbo kama pakacha kwakweli hatuwezi kurelate na hii post maana hayo sio matumbo ya mademu zetu
 
Sio Siri Mimi napenda mwanamke mwenye kitovu flani ivi halafu awe model tumbo la kuzamia ivi halafu..... Dah ngoja nisiyamalize hapana naanza kuumwa
Tuma basi cha mfano nione
 
Mmmmmmhmn ona zaidi hapa
Screenshot_20210212-184214.jpg
Screenshot_20210212-184219.jpg
Screenshot_20210212-184226.jpg
Screenshot_20210212-184232.jpg
Screenshot_20210212-184322.jpg
Screenshot_20210212-184327.jpg
Screenshot_20210212-184352.jpg
Screenshot_20210212_184423.jpg
Screenshot_20210212_184440.jpg
Screenshot_20210212_184457.jpg
Screenshot_20210212_184511.jpg
Screenshot_20210212_184533.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20210212_184511.jpg
    Screenshot_20210212_184511.jpg
    62.2 KB · Views: 27
  • Screenshot_20210212-184214.jpg
    Screenshot_20210212-184214.jpg
    28.6 KB · Views: 27
Back
Top Bottom