Mvuto wa Kitovu cha mwanamke

Mvuto wa Kitovu cha mwanamke

Mtoa mada Kama ndio Wewe kwenye Avatar nikiri tu natamani kuona Kitovu Chako tafadhari!!![emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfano wake kipo kule juu soma post zote utaona kuna comment nimemjibu mwenzako juu kule
 
Zaidi..... Mmmmmmmmhmn
images%20(9).jpeg
images%20(13).jpeg
620f79e14830411c418851d3709eb437%20(1).jpeg
images%20(10).jpeg
images%20(12).jpeg
images%20(11).jpeg
 
Mtoa mada Kama ndio Wewe kwenye Avatar nikiri tu natamani kuona Kitovu Chako tafadhari!!![emoji39]

wana JF hua mnanifurahisha hapo[emoji23] nimecheka sana,yani huwa mnatumia vimaneno ya ustaarabu,utu uzima kuundia ujumbe wa utoto,uzinzi nk kwa mfano hiyo “nikiri” huwa ki kawaida inatumika katika kuongelea mambo ya u serious
 
Cha kwako ni kipi kwanza?, afu umesema huwa hadi unapata hamu ya kukilalia kitovu cha mwanamke mwenzio?? Unakoelekea si kuzuri punguza kasi.

Afu hizo picha ni za flat tummies ama vitovu?, mbona hamna wenye vitambi hapo au hawana vitovu[emoji2369]

wenye vitambi wana honi za fuso sio kitovu[emoji23]
 
Wewe ni mwanamke afu unavutiwa na vitovu vya wanawake wenzako? Mmmmmmmh aiseee labda mm ndo sijaelewa.dah kweli Mungu kazi unayo.
 
Uchaguzi umeishapita, tufunge mikanda tujenge nchi.
Haya mambo ya vitovu tuyadili na wenzi wetu vyumbani 😂
 
Mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasema wewe ni mwanaume...

Hiki ulichosema nini...
"Mimi pia huvutiwa na vitovu especially ninapomuona mdada anacho chenye mvuto(i hope that doesn't make me a lesbian)."



Cc: mahondaw
 
Ume wabagua wanawake wenye vitambi vyao ambao ni 80% teh teh teh
Wewe wanakuvutia...... Mimi naona mwanamke akiwa na kitambi hapendezi. Ndio maana hata katika mashindano ya urembo miili inayopendekezwa ni ile midogo.
 
Wewe ni mwanamke afu unavutiwa na vitovu vya wanawake wenzako? Mmmmmmmh aiseee labda mm ndo sijaelewa.dah kweli Mungu kazi unayo.
Kwan kuna ubaya gani, ni kuvutiwa tu hakuna shida nyingine labda kama umenielewa vibaya
 
Hapa ni kutamanishana tu na kuamshiana hisia kali......
 
Sio Siri Mimi napenda mwanamke mwenye kitovu flani ivi halafu awe model tumbo la kuzamia ivi halafu..... Dah ngoja nisiyamalize hapana naanza kuumwa
 
Back
Top Bottom