Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Brains intuitions, mawasiliano ya kiroho ama makutano ya kiroho ndio husababisha hiyo hali, haimtokei kila mtu thoughWakuu
Kuna kitu kinanichanganya sana,katika maisha yangu .Mimi sio MTU wa kupiga sana simu kwa watu.Huwa napokea sana lawama Juu ya hii tabia,naonekana jeuri japo Mimi sielewi kwanini nipo hivyo.
Kitu cha ajabu kinacho nishangaza ni kuwa,kila ninapomfikiria MTU ambaye sijaongea nae mda mrefu basi uyo Mtu lazima atanipigia simu.
Zamani nilikua sichukulii uzito ili swala lakini sasahivi limezidi sana.Yani siku nikianza kumuwaza MTU yeyote ambaye mda mrefu atujawasiliana basi lazima uyo MTU anipigie simu siku iyo iyo.
Siku nyingine nikiwawaza ata watu 3 lazima wote wanipigie.Mpaka kuna mda naogopa kuwakumbuka baadhi ya watu.
Hivi hii inatokana na nini?,kwa anayejua msaada tafadhali.
Ulipomtaja tb joshua ndio umeharibu..... mpka leo unawawaza hao watu tu.. duhHizo ni dalili za psychic awakening...nakushauri google hiyo psychic awakening au nenda you tube utapata mafundisho ya mentors huko..dalili hizo ni karama uliyonayo ndiyo inaanza kufunguka kwa sixth sense au third eye..hiyo ya mtu kukupigia simu unapomfikiria inaitwa telepathy na itafuatiwa na clairvoyant then teleportation na mengineyo...mwisho utaishia kuwa mtenda miujiza kama akina tb joshua.
Nakushauri usiende kwa wachungaji uchwara au waganga watakuibia hiyo karama wewe jifunze masharti kupitia youtube na vitu vya kula na namna ya kujilinda pia nakushauri kama upo maeneo yenye msongamano wa watu na makelele mengi basi hamia nje ya mji maeneo yasiyo na kelele nyingi ili uweze kuwa karibu na nature nikimaanisha where the fields are evergreen and calm.pia pendelea kukaa mwenyewe zaidi hii itakufanya uweze kufikiri zaidi in form of meditation.
Ninamaanisha chanzo cha nguvu zao zilitokea wapi..hizi nguvu zinavyoanza ziko tu kama watoto wanapozaliwa kuna wakati wao wanachojuani kulia tu kisha wanaanza kuita mama au baba then dada au kaka baada ya hapo wanaenda shule wote wanafundishwa a e i o u baadae wanamaliza std seven kisha sekondari iv and vi baada ya hapo wengine wanasomea ujasusi au udaktari au uinjinia au vibaka na wapigaji...sasa kwa mantiki hii itategemea yeye atajiheshimuje au atakutana na akina nani ambao atashirikia nao kuendana na matamanio ya kibinadamu.hivyo huyo tb joshua unavyomuona au unavyomchukulia ni ile picha aliyojijengea au wale maadui zake wanavyomuelezea hivyo sijui wewe ni nafsi yako ilikufanya umchukulie kama ilivyo sasa au ni ushawishi kutoka kwa maadui/wapinzani wake walikushawishi umuone hivyo ila yote ni yote watenda miujiza wote hawatumii mapepo kama chanzo kikuu cha miujiza yao bali hutumia sixth sense zao ambazo kwa namna moja au nyingine mapepo hupenda kuwasaidia kupitia jamii za usiri.Ulipomtaja tb joshua ndio umeharibu..... mpka leo unawawaza hao watu tu.. duh
,...hata mimi nisipokuwa na voucher na nataka kuwasiliana na mtu huwa namvutia hisia kali za kina-then namwambiwa Juma/Preta(nataja jina) nipigie simu nataka kuongea na wewe sasa hivi.
.....hakwepi-muda si mrefu huyooooo hewani.
....wala sio uchawi ni sayansi/kanuni tu za nguvu za kimaumbile mkuu...take it easy
Kwa iyo nafsi inatuma kuchukia tu haiwezi kukutuma wewe ukampenda bila sababu....Ninamaanisha chanzo cha nguvu zao zilitokea wapi..hizi nguvu zinavyoanza ziko tu kama watoto wanapozaliwa kuna wakati wao wanachojuani kulia tu kisha wanaanza kuita mama au baba then dada au kaka baada ya hapo wanaenda shule wote wanafundishwa a e i o u baadae wanamaliza std seven kisha sekondari iv and vi baada ya hapo wengine wanasomea ujasusi au udaktari au uinjinia au vibaka na wapigaji...sasa kwa mantiki hii itategemea yeye atajiheshimuje au atakutana na akina nani ambao atashirikia nao kuendana na matamanio ya kibinadamu.hivyo huyo tb joshua unavyomuona au unavyomchukulia ni ile picha aliyojijengea au wale maadui zake wanavyomuelezea hivyo sijui wewe ni nafsi yako ilikufanya umchukulie kama ilivyo sasa au ni ushawishi kutoka kwa maadui/wapinzani wake walikushawishi umuone hivyo ila yote ni yote watenda miujiza wote hawatumii mapepo kama chanzo kikuu cha miujiza yao bali hutumia sixth sense zao ambazo kwa namna moja au nyingine mapepo hupenda kuwasaidia kupitia jamii za usiri.
Utakuja kuamganga wakutibu nguvu za kiume kurudisha mpenzi aliye potea nk
AmenKwa wakristo ukiwa mtu wa rohoni, Mungu anasema atakutimizia aja ya moyo wako, kwa hiyo hilo linawezekana sawasawa na Neno la BWANA
hio chai mkuu,...hata mimi nisipokuwa na voucher na nataka kuwasiliana na mtu huwa namvutia hisia kali za kina-then namwambiwa Juma/Preta(nataja jina) nipigie simu nataka kuongea na wewe sasa hivi.
.....hakwepi-muda si mrefu huyooooo hewani.
....wala sio uchawi ni sayansi/kanuni tu za nguvu za kimaumbile mkuu...take it easy