The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,615
- Thread starter
- #21
Dogo acha porojo fanya kazi.Nashangaa sana mnaohusisha hili tukio na masuala ya dini.
Hivi ushetani wa mtu mmoja unaweza kuwafanya mka conclude na kualaumu dini kuwa ndio tatizo?
Ni ushahidi gani mlio nao zaidi ya assumptions tu na mere allegations?
Tusipende kukurupuka ku judge vitu ambavyo hatufahamu chanzo chake. Muombeeni dogo apumzike pema peponi na mama yake apate justice.
Kubandika lawama kwa dini ni kukosa uelewa kwa kiwango cha stiglers gorge.
Tumia kipaji chako na elimu yako ya juu uliyojaliwa kuleta tija kwenye jamii.
Fanya kazi