Inadaiwa sababu za kusimama kwa ukarabati wa tuta la mto mkondoa ni mafuta. Mtoa mafuta amesitisha hadi malipo ya awali yafanyike. Hivi taratibu za ukandarasi zikoje ?.