Mvua zimerejea kwa kasi, ngoja tuone watakuja na kisingizio gani tena

U
Uchuro wenu umegonga mwamba,mara ooh laana ya Mwendazake mara ooh na upuuzi kama huo.
 

.
 
Bwana Yule alisema anakuja na suluhisho baada ya siku mbili,zimeshapita na haonekani.
 
Watasema mvua zimenyesha nyingi kupita kiasi kwa hiyo maji yamezidi unga
 
Hatujaanza kudanganywa leo, ni miongo kadhaa wametudanganya lakini tumewafanya nn. Kuwa mpole tu
 
Hawa CCM matatizo ya wananchi kwao ni fursa kubwa sn
 
Mvua walishaiona kabla haijanyesha ndio wakaanza story ya mitambo inarekebishwa masta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…