Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,016
- 54,299
HaaChato hakuna cha mkoa wala nini
Acha Nongwa
HaaChato hakuna cha mkoa wala nini
Uchuro wenu umegonga mwamba,mara ooh laana ya Mwendazake mara ooh na upuuzi kama huo.Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.
Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena.
Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni 4 kwenye pori la Selous!!
Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.

Watasema mvua zimenyesha nyingi kupita kiasi kwa hiyo maji yamezidi ungaLeo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.
Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena.
Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni 4 kwenye pori la Selous!!
Tena hawa nadhani hawapo stand ya Buhongwa, wanasubiria stand ya Hungumalwa.Wacha wamalize muda wao kwa kuisubiria meli ktk stendi ya buhongwa
Hawa CCM matatizo ya wananchi kwao ni fursa kubwa snLeo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.
Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena.
Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni 4 kwenye pori la Selous!!
DuuuuuuTena hawa nadhani hawapo stand ya Buhongwa, wanasubiria stand ya Hungumalwa.
Ndiyo maana badala ya kutoa elimu bora wanatoa bora elimuHawa CCM matatizo ya wananchi kwao ni fursa kubwa sn
Nimeshangaa sana wakati ramani za mito ipo kwenye kiganja chake...Rud darasani usome ramani ya Tanzania vizuri... usituaibushe mitandaoni
Jamaa hawataki watu wapate akiliNdiyo maana badala ya kutoa elimu bora wanatoa bora elimu
Ndiyo maana hadi sasa bado kuna wanafunzi wanasoma wakiwa wamekalia matofaliJamaa hawataki watu wapate akili