Mvua za El nino: Serikali inasubiri nini kufunga shule

Ila ni kweli kwa hizi mvua, ilitakiwa shule za Msingi na Sec wasimamishe masomo, hali ni mbayaa sana,

Watoto wanapata adha kubwa mnoo njiani.
Ukienda hospital watoto wengi wanaumwa nadhani ni vichomi au mafua
 
Yaani mvua ya siku moja tu shule zifungwe? Nyie watu wa dar mnawalea watoto kimayai sana na ndio maana siku hizi na wa kiume wanashikishwa ukuta (wanagegedwa).
Ndo mawazo yako yalipoishia hapo tyuuh.
 
Ila ni kweli kwa hizi mvua, ilitakiwa shule za Msingi na Sec wasimamishe masomo, hali ni mbayaa sana,

Watoto wanapata adha kubwa mnoo njiani.
Hizo mvua za kutisha hivyo mbona hatuzioni? Morogoro hapa.
 
Ila ni kweli kwa hizi mvua, ilitakiwa shule za Msingi na Sec wasimamishe masomo, hali ni mbayaa sana,

Watoto wanapata adha kubwa mnoo njiani.
Maoni yangu siku inaonyesha Sana iwe ruhusa Kwa Mtoto na waalimu kuto kwenda Shule
 
Watoe tu tangazo kwa kipindi hiki,mvua ikinyesha wanafunzi wasiende shule
 
Ila ni kweli kwa hizi mvua, ilitakiwa shule za Msingi na Sec wasimamishe masomo, hali ni mbayaa sana,

Watoto wanapata adha kubwa mnoo njiani.
Mitihani ya kidato Cha pili watoto wanakuja shule saa 3 yaani mtihani umeanza saa mbili katembea km 4 toka Kijiji Cha pili Mvua yote mwilini anaingia kwenye chumba Cha mtihani huku anatetemeka baridi.Unadhani Huyu mtoto ataipenda hii nchi kweli!!Nimesikitika sana ilibidi Kanuni na Sheria zivunjwe sijui nusu saa asiingie hicho kilifeli.
 
Back
Top Bottom