Mvua za El-nino bado zipo?

Mvua za El-nino bado zipo?

Nimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.

Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.

Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?
Mimi nimeotesha alizeti zimeshafukuliwa na kwale na kuku.
 
Hili jua linanyonya maji yote on surface kifuatacho ni mvua joto na jua vyote vikali and ucku kuna baridi balaa
 
Nimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.

Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.

Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?
Walisema kuanzia October mpaka December. October ndio kwanza ipo katikati
 
Naskilizia mpk mwisho wa mwezi huu, japo Kenya nao walitabiri kuwa elnino ipo, au TMA walipigi simu nn😆😆

Leo imenyesha huku, kuna mzee sana akanimbia HAKUNA elnino hapa, elnino hainaga minguro na radi
 
Nimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.

Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.

Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?
Bado uko bondeni?
 
Back
Top Bottom