Mvua ya kimbunga kikali kuanza kesho

Mvua ya kimbunga kikali kuanza kesho

...me don't trust hawa jamaa wa hali ya hewa kabisa...mfano....Mwaka jana mwishoni hadi mwaka huu walitabiri elnino katika pwani ya hindi kwa kipindi kirefu sana lakini hamna chochote kilichojiri zaidi ya joto kali ambalo nalo walikuwa wanashusha viwango....mfano kuna wakati joto lilipanda hadi kukaribia 40 degrees....na mtu unaona kabisa na hata raia wengi waliharibika ngozi kwa mapele...lakini wao TMA wakawa wanakuja na joto la degree 30 sehemu nyingi....

...kuna wakati naona hawa jamaa wanafanya kazi kisiasa zaidi..kuliko kisayansi....mfano uhusiano wa matamko yao ya elnino na ile timuatimua ya serikali kwa watu wa mabondeni ambayo sasa siisikii....
 
...me don't trust hawa jamaa wa hali ya hewa kabisa..mfano kuna wakati joto lilipanda hadi kukaribia 40 degrees....na mtu unaona kabisa na hata raia wengi waliharibika ngozi kwa mapele...lakini wao TMA wakawa wanakuja na joto la degree 30 sehemu nyingi....

Ni kweli mkuu kuwa sio kwenye kila kitu wanakuwa sahihi kama ambavyo tungependa lakini pia tuelimishane kidogo hapa tukitimiza lengo mojawapo la JF.

Hali joto wanayo toa wao ni ya hewa inayopimwa kwenye vituo kutumia vipima joto vilivyo umbali wa mita 2 kutoka kwenye ardhi.

Ningependa kujua zaidi kuhusu hiyo namba ya nyuzi joto 40 kama ilipimwa au ni makadilio yako. Kwasababu nimeangalia online data base moja kwa mwaka jana kuanzia mwezi 10 hadi 12, Dar haionekani kuwa na hali joto zaidi ya nyuzi 34.

Tafsiri yangu, kama baharini kulikuwa na hali joto ya juu, na kama upepo ulikuwa unavuma kutoka baharini kwenda nchi kavu, basi baadhi ya maeneo ya nchi kavu yalipata hewa yenye joto zaidi. Na hii inaweza kuchukua muda mrefu kutokana na uwezo mkubwa wa maji kuhifadhi joto na pia kama upepo ni wa taratibu.
 
Hiyo mvua kubwa yenye kuambatana na kimbunga mbona hadi mida hii ya saa 9 jioni bado haijaanza?
 
Mhh, utaalamu upi. Unajuaje kama hakukaa mezani na kuandika. We toa shukrani kwa taarifa, kujua kama ni ya kitaalamu au vipi you need evidence!
Wewe kweli CHUAJACHARA, tembekea ofisi za TMA wakuoneshe vifaa vibavyotumika kutabiri hali ya hewa, ndo uweke yenye maana humu jamvini. Watu kama wewe mbapotosha maana ya JF (kuelimishana kupashwa kutoa tahadhari). Ningekuwa Mod nisingeweka hayo ya kwako. Tuachane na ujuha.
 
Kesho ina kesho ya lini epuka kutaja maneno yenye utata tumia date
 
Ni kweli mkuu kuwa sio kwenye kila kitu wanakuwa sahihi kama ambavyo tungependa lakini pia tuelimishane kidogo hapa tukitimiza lengo mojawapo la JF.

Hali joto wanayo toa wao ni ya hewa inayopimwa kwenye vituo kutumia vipima joto vilivyo umbali wa mita 2 kutoka kwenye ardhi.

Ningependa kujua zaidi kuhusu hiyo namba ya nyuzi joto 40 kama ilipimwa au ni makadilio yako. Kwasababu nimeangalia online data base moja kwa mwaka jana kuanzia mwezi 10 hadi 12, Dar haionekani kuwa na hali joto zaidi ya nyuzi 34.

Tafsiri yangu, kama baharini kulikuwa na hali joto ya juu, na kama upepo ulikuwa unavuma kutoka baharini kwenda nchi kavu, basi baadhi ya maeneo ya nchi kavu yalipata hewa yenye joto zaidi. Na hii inaweza kuchukua muda mrefu kutokana na uwezo mkubwa wa maji kuhifadhi joto na pia kama upepo ni wa taratibu.
....hii ya kupima joto hata wewe unaweza kupima nyumbani kwa kutumia thermometer ndugu....unaweka thermometer kwenye room temperature (au atmospheric temperature) unapima...its simple....Kwa hiyo kipindi kile cha joto kuna wakati tulipima tukiwa zenj na dar na KIA na kuona joto la juu karibia 38 degrees...lakini unakuta vituo vya hawa jamaa vinakuja na level hizi za 34 etc....

..Issue hapa ni possibly wao TMA ndio wanatoa makadirio ya maeneo....Kama baharini ndiko kulitoka upepo wenye joto kali basi tunge expect hali za joto kwa maeneo haya yawe juu zaidi lakini it was not the case.....wakati ka uhalisia joto lilikuwa kali sana sana dar na hata baadhi ya vyombo vya redio walikuwa wanalalamikia hali hii....na hata manyumbani watu waliathirika...na hata feni za kawaida ungeweza kuweka max speed lakini bado ukahisi wimbi kali la joto...alafu mtu anakwambia ni 34 degrees????...didn't believe them...
 
Dah ... pamoja na habari zote hizi bado utaona mijitu imelala...,,,, kwanini mitumie channel zilezile mnazotumia wakati wa kampeni za uchaguzi kufikisha habari kama hizi?????
 
Samahani mkuu Rohombaya ila kiu kweli kila nikiona jina lako na hilo jamaa kwenye picha pembeni huwa nacheka sana!! Au ndiyo wewe huyo?
Dah ... pamoja na habari zote hizi bado utaona mijitu imelala...,,,, kwanini mitumie channel zilezile mnazotumia wakati wa kampeni za uchaguzi kufikisha habari kama hizi?????
 
....hii ya kupima joto hata wewe unaweza kupima nyumbani kwa kutumia thermometer ndugu....unaweka thermometer kwenye room temperature (au atmospheric temperature) unapima...its simple....Kwa hiyo kipindi kile cha joto kuna wakati tulipima tukiwa zenj na dar na KIA na kuona joto la juu karibia 38 degrees...lakini unakuta vituo vya hawa jamaa vinakuja na level hizi za 34 etc....

..Issue hapa ni possibly wao TMA ndio wanatoa makadirio ya maeneo....Kama baharini ndiko kulitoka upepo wenye joto kali basi tunge expect hali za joto kwa maeneo haya yawe juu zaidi lakini it was not the case.....wakati ka uhalisia joto lilikuwa kali sana sana dar na hata baadhi ya vyombo vya redio walikuwa wanalalamikia hali hii....na hata manyumbani watu waliathirika...na hata feni za kawaida ungeweza kuweka max speed lakini bado ukahisi wimbi kali la joto...alafu mtu anakwambia ni 34 degrees????...didn't believe them...

Ni kweli, kama swala ni kupima temperature unaweza kupima popote, sio nyumbani peke yake. Lakini temperatures hizo zitakuwa tofauti na wanazo sema wao. Ukipima temperature kwenye chumba una pata temperature ya chumbani, wakati wao wanatoa temperature ya hewa kwenye umbali wa 2m kutoka ardhini, na hata hivyo hiko kipima joto kinatakiwa kiwe katika mazingira flani maalum, wana vigezo vyao.

Kwa mfano kama kipima joto umekiweka chumbani, upande ambao chumba kinapigwa na jua au ushikaji wa hiko kipima joto sio sahihi vipimo vitakuwa pia sio sahihi au niseme havita fanana na vyao. Kuepuka hayo, kuna vigezo vya mazingira na jinsi ya uwekaji hivyo vipima joto.

Wao wana vituo vichache, hivyo hiyo temperature ya kituo kimoja inatumika kwa mkoa mzima, hilo ni tatizo lakini sio swala la kushusha.

Kuhusu joto kuwa kali sana Dar na mikoa ya pembezoni mwa bahari ya hindi ni sawa, kwasababu temperature iliyo ongezeka ni ya maji ya bahari ya Hindi. Hivyo kama upepo ulisukuma hewa ya joto jingi kutoka baharini kuja nchi kavu (Dar na mikoa ya jirani mwa bahari ya Hindi) basi maeneo hayo yalikuwa na joto kali lakini haimaanishi lazima ifike 38 hata nyuzi 34 niliyo kuambia mwanzo ni kubwa kwa Dar kwasababu maeneo yenye wastani wa nyuzi joto 29-30 ikipanda ikafika 32- 34 na ikawa hivyo kwa muda mrefu inakuwa na changamoto zake.
 
Haya sasa mliokuwa mkipinga utabiri...mvua ndo hiyo imeshaanza semeni mengine
 
Back
Top Bottom