Mvua ya kimbunga kikali kuanza kesho

Mvua ya kimbunga kikali kuanza kesho

Naona mama kijazi amegeuka mpiga ramli bora anunue iPhone ya milioni na laki nne itampa weather updates za uhakika kuliko hao wataalamu wake wanatumia radar ila ni hewa tu
 
Asante kwa taarifa.
Maana Zanzibar hali ya wingu na Upepo imeanza leo asubuhi ikapoa kisha jioni show imeanza ila mvua bado wingu tu lina zunguuka.
 
Wengine mjitathmini je niwatu wa Pwani?na mmekuja lini Pwani?
Maana misimu ya pwani inafahamika sana,na hali za hewa na madiliko yake huwa yanajulikana sana.Na pia kwa sie tunaokaa na wavuvi wakongwe,watakuambia kabisa kwamba nini kitafuata hapo mbele kutokana either na joto la majini,au hali ya hewa wanayoiona.
Sasa wewe wa mkoani Nantumbo au Mbekenyera huko umevamia jiji na kuona mambo yanaenda tu na wewe unafuata tu.
Sasa kama wasomi wenzenu wanawaambia hivyo,sasa nyie mnaenda Vyuoni kusoma nini?au ndio kufuta miaka tu then tunakuwa na wasomi wasioajirikia?
 
Bora hata kuangalia al jazeera tu tanzania hatuna watabiri wa hali ya hewa huwa wanaangalia nini wenzao wanasema tu na wao kuflow nazo.
 
Back
Top Bottom