Inasikitisha sana, tumekuwa watu wa bahati mbaya kila wakati.Kumekuwa na ukame mkubwa ambapo mvua zilikosa kabisa kunyesha. Sasa imeanza kunyesha. Watu wamepanda mahindi na mazao mengine. Kinachoonekana ni kuwa zinanyesha bila kukatika na hivyo kila mmea kuoza. Tunaomba mvua za kiasi si za laana
Likija jua kila kitu kinakauka. Jua la laana! Nchi gani hii haina kipimo?
LosersInasikitisha sana, tumekuwa watu wa bahati mbaya kila wakati.
Ina tabia mbaya ya kuharibu mimea kuwa water lodged..... subiri asa ukame kila mmea unaungua. Nchi gani ya laana hiiKwani inanyesha mikoa yote mkuu hii mvua maana huu ukanda wa pwani ndiyo inanyesha ingawa kuna muda inakata kwa muda wa dk10 then inaendelea
Hiyo laana umelaaniwa wewe, huna akiliIna tabia mbaya ya kuharibu mimea kuwa water lodged..... subiri asa ukame kila mmea unaungua. Nchi gani ya laana hii
Mwaka juzi niliandika hapa jukwaani maono niliyoyaona nikiwa mlimani. kwa kweli Mungu ameitosa Tanzania kwa sababu nyingi sana.Kumekuwa na ukame mkubwa ambapo mvua zilikosa kabisa kunyesha. Sasa imeanza kunyesha. Watu wamepanda mahindi na mazao mengine. Kinachoonekana ni kuwa zinanyesha bila kukatika na hivyo kila mmea kuoza. Tunaomba mvua za kiasi si za laana
Likija jua kila kitu kinakauka. Jua la laana! Nchi gani hii haina kipimo?
Serikali haina kipimo, wanabariki sheria za hovyo.
Wabunge akina Salma Kikwete hawaka kipimo, wanajilimbiizia mahela ya wananchi
Mahakama haina kipimo, inaikumbatia serikali. Angali danadana za AG na Peter madeleka wanavyomngagani as if hana haki kukaa Tanzania.
Bunge halina kipimo, imekuwa sehemu ya serikali! kusanyiko la wahuni, walaji, wacheza mdundiko and the like
NA MWISHO RAIS HANA KIPIMO ANAUZA KILA RASILIMALI YA TAIFA HILI
sasa matusi ya nini? Sijatukana popote, wewe unanishambulia. WHY? Muulize mama yako kama nimelaaniwaHiyo laana umelaaniwa wewe, huna akili