Mvua kubwa na radi Dar imekukuta wapi?

Mvua kubwa na radi Dar imekukuta wapi?

ingesubiri kwanza leo beach kidimbwi tule bata zetu ianze kuwanyeshea walioajiriwa kuanzia j3 mpaka alhamisi ili ijumaa InshaAllah ndugu zetu waislam wapate rakaa bila shida...
 
Baada ya kipindi kirefu cha jua kali na majoto ya kutisha Dar hatimaye leo bonge la mvua linanyesha likibatana na radi pia upepo

Huko mtaani kwenu mvua inanyesha au dhambi zimewafanya isinyeshe maana kuna mitaa inatisha kwa madhambi

USSR
Buza imenyesha?
 
Hongera kwa mama kwa kuleta mvua, kwa kweli anaupiga mwingi sana mama.
 
ingesubiri kwanza leo beach kidimbwi tule bata zetu ianze kuwanyeshea walioajiriwa kuanzia j3 mpaka alhamisi ili ijumaa InshaAllah ndugu zetu waislam wapate rakaa bila shida...
Allah na zinaa &pombe za kidimbwi wapi na wapi

USSR
 
Baada ya kipindi kirefu cha jua kali na majoto ya kutisha Dar hatimaye leo bonge la mvua linanyesha likibatana na radi pia upepo

Huko mtaani kwenu mvua inanyesha au dhambi zimewafanya isinyeshe maana kuna mitaa inatisha kwa madhambi

USSR
Huku Rau madukani mvua hakuna. Kingai ametuletea mkosi sana.
 
Umeuliza swali vizurii,ila umeharibu na michanganyo mingine
 
Back
Top Bottom