Mvua kubwa na radi Dar imekukuta wapi?

Mvua kubwa na radi Dar imekukuta wapi?

KKwa
Baada ya kipindi kirefu cha jua kali na majoto ya kutisha Dar hatimaye leo bonge la mvua linanyesha likibatana na radi pia upepo

Huko mtaani kwenu mvua inanyesha au dhambi zimewafanya isinyeshe maana kuna mitaa inatisha kwa madhambi

USSR
Kwa Mpalange
 
sifa zote ziende kwa mheshimiwa rais ametuletea mvua, ametuheshimisha na anaendelea kuupiga mwingi.
 
Muda huu nipo kivule jua linawaka.
 
sifa zote ziende kwa mheshimiwa rais ametuletea mvua, ametuheshimisha na anaendelea kuupiga mwingi.
Kwenye Imani sifa na Utukufu tunampa Mungu, muumba wa Mbingu na Nchi. Mhe Rais hana uwezo wa kuleta mvua
 
Dar sehemu gani mvua inanyesha mbona mnatuchanganya
 
Natamani hiyo mvua ifike hadi huku Kidatu ili maji yarejee kuweza kuzalisha umeme wa kutosha.
Huku Moro bado jua ni kali mno.
 
Imenikuta mitaa ya goms..nikiwa nakula mbususu..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna wakati gari ya Mwigulu ilimgonga punda na yeye akajeruhiwa na akalazwa hospitali. Akihojiwa alimshukuru Magufuli kwa kumnusru na ajali ile.
Hahaha nimecheka sana ,kuna kipindi uanmuona aliyekuajiri kama Mungu wako hapa duniani

USSR
 
Back
Top Bottom