Mvua kubwa na radi Dar imekukuta wapi?

Mvua kubwa na radi Dar imekukuta wapi?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,011
Reaction score
28,372
Baada ya kipindi kirefu cha jua kali na majoto ya kutisha Dar hatimaye leo bonge la mvua linanyesha likibatana na radi pia upepo

Huko mtaani kwenu mvua inanyesha au dhambi zimewafanya isinyeshe maana kuna mitaa inatisha kwa madhambi

Imenikuta tandale Kwa tumbo, noma sana🏃.
 
Baada ya kipindi kirefu cha jua kali na majoto ya kutisha Dar hatimaye leo bonge la mvua linanyesha likibatana na radi pia upepo

Huko mtaani kwenu mvua inanyesha au dhambi zimewafanya isinyeshe maana kuna mitaa inatisha kwa madhambi

USSR

Hiyo mvua inanyesha Dar ipi au upo Kazimzumbwi mzee baba?
 
Back
Top Bottom