Kweli mvua inanyesha sana. kuna taarifa mimi bado sijazithibitisha kwamba kila tarehe 30 Aprili jijini dar huwa kuna mvua kila mwaka. wale wenye kumbukumbu ya tarehe hii watujuze, kama wa birthday waliooa nakuolewa tarehe hii waliojifungua tarehe hii watakuwa wanakumbuka.