Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
Mi nahis ana maanisha Namtumbo kuna wakulima sana, sasa kwa taarifa yake namtumbo sasa mvua hainyeshi na hata ikinyesha manyunyu tu hadi mwezi wa nne mwishoni ndio ina stop kabisa but kwa sasa (muhwela)
hahahahaha
afadhali nimekupata
unifundishe kidogokidogo vitu vya namtumbo maana