Mvinyo ........... wine............. Karibu

Ni mvinyo wa kiroba, ujazo wake ni almost 1/4 hafu jero tu n very steaming kaa ushazoea Kunywa kesto usijaribu hii kitu, buku 2 tu waweza chojoa mpaka pichu huku unaimba nani kamwaga pombe yangu...!?

Hahahahahaaa... .kaaz kweli kweli
 
  • Hamira (unaweza kuichanganyia kwenye chombo tofauti ili kuhakikisha kuwa haijafa)
  • Chungwa unalikamua,
  • limao unaliparua yale maganda ya nje; hivi unaviweka kwenye juisi baada ya kupoa kisha unakoroga.

Kama utakuwa haujaelewa fresh uliza tu.

Chungwa, limao, na hamira haujaeleza vinatumika wakati gani
 
Kuna vipimo maalum vya kupimia alcohol;
wakati fulani vilikuwa kwenye maduka ya sido
kwa miaka hii naamini kuwa vinapatikana mahali pengi zaidi.

wastani wa alcohol upo range gani?

kama unataka kuongeza au kupunguza kiwango cha alcohol unatumia unafanyaje?
 
Back
Top Bottom