:rip::rip:
:rip::rip:
Hivi binadamu akifa anafunikwa na nini?
Blanket ni sahihi kweli?
Hao watoto wameniuma sana.
Kwa uzembe wa watu wachache umefanya ndoto za watoto hawa ziyeyuke kama barafu juani. Tumepoteza pengine rais, waziri,mbunge au kiongozi hodari wa kesho hapa jamani.Hii picha imeharibu siku yangu. Inahuzunisha Sana.
Ok. Tuko kwenye majonzi sitakuuliza maswali ya nyongeza mkuu!Blankets zilikuwa eneo la tukio kuwafunika watakaookolewa wapate joto....zikapata kazi nyingine!!