Kazi ya kutengeneza MV Magogoni kwanini walipewa Kenya badala ya Songoro Marine

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,199
Serikali ilikabidhi Tenda ya matengenezo ya mv Magogoni kwa Wakenya kwa Mbwembwe nyingi sana wakawaacha kampuni ya Ndani

Sasa ni mwaka wa 2 Mv magogoni ukarabati imefika asilimia 40

Now kivuko kinafanya kazi kimoja tu watu wanapata tabu sana, ilikuwaje Serikali mkawaacha wazawa mkawapa hii kazi Wakenya,?
 
Na mbaya zaidi bei ya kuikarabati ilikua ni sawa na bei iliyo nunuliwa, Makame Mbarawa anapaswa ajibu hili
 
Yaani hakuna zuri la kujivunia kwa serikali ya ccm, wana ccm ,honestly nijibuni nini cha kujivunia mlichoifanyia kodi yangu ?
 
Hao songoro marine ile meli yao waliyotengeneza Lake nyasa na ikapiga mweleka na kutaka kuua watu siku yake ya kwanzailipoanza kutoa huduma walishairekebisha?
 
Hii mada ilishajadiliwa humu. Itafute..

Lakini nadhani bid yao ilikuwa two times the price ambayo Kenya walioffer.

Uzalendo wa kipuuzi kama huo usifumbiwe macho.
 
humo ndio tiss wanapaswa kunusa mambo kwa maslahi ya nchi.
kuna watumishi wa umma wanazibania kampuni za ndani kwenye tender hata kama kampuni za ndani zinavigezo,kwa ahadi ya 10% rushwa kutoka kampuni za nje.
 
Upumbav mtupu yani
Jibu hoja mpumbavu wewe, why serikali yako haitumii wataalamu wa ndani na kampuni ya ndani?,ndio maana hadi leo wale wataalamu wanaomaliza pale SUA, wanauza karanga mitaani, hadi leo sukari ni bidhaa adimu
 
Back
Top Bottom