PostGE2025 MV Kazi yasitisha kutoa huduma leo Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December 09 kutokana na Kupata hitilafu kwenye mifumo yake ya Uendeshaji.

IMG_0114.jpeg
TAMESA imeshauri watumia wa kivuko hicho Kutumia njia mbadala ya Daraja la Mwalimu Nyerere Mpaka pale Kivuko hicho kitakaporejea kweneye Utoaji huduma zake.

IMG_0115.jpeg
 
Hasara Tanganyika
 
Jiandaeni kwasababu haya maandamano hayana Kikomo Leo ilikuwa ni zamu ya maaskari siku zinazo fuata ni GeZ
 
MV Kazi yasitisha kufanya kazi. Rasmi Samia amemtunuku mzanzibari mwenzake huduma za ferrying Dar. Ni bakhresa atambe atakavyo. Hii nchi imekuwa ya kisenge sana
 
Hii habari Iko mitandaoni kesho vivuko havifanyi KAZI kamwe kisa ubovu WA vivuko hivyo je ni ujuma za mkurugenzi WA ufundi aliyekuwa mteule wa Rais aliyetuhumiwa kuiba more than 2.5b?
 
Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December 09 kutokana na Kupata hitilafu kwenye mifumo yake ya Uendeshaji.

TAMESA imeshauri watumia wa kivuko hicho Kutumia njia mbadala ya Daraja la Mwalimu Nyerere Mpaka pale Kivuko hicho kitakaporejea kweneye Utoaji huduma zake.

Kile kilichopelekwa naropi kimefikia wapi
 
Back
Top Bottom