Muzungu azuia Wakenya kukanyaga USA- Corruption!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kuna rafiki yangu kanitumia hii kutoka Nairobi Kenya, kwamba D.Trump amechoshwa na corruption ya politicians wa Kenya, na sasa hakuna kuingia USA, na wanavyopenda kusafiri kwa Muzungu lazima watachanganyikiwa,

Wakenya njooni huku muone vile mungu wenu kawazuia kuingia mbinguni USA licha yanyi kuiabudu dini ya English
 
Dah! Hii kali, eti Wakenya wamezuiwa kuingia USA, jameni Wakenya wote tumeisha, hatutaruhusiwa kuingia US tena, ndege zetu za direct flight to USA ndio basi.....mamayeee tulikosea wapi....
 
Kuna rafiki yangu kanitumia hii kutoka Nairobi Kenya, kwamba D.Trump amechoshwa na corruption ya politicians wa Kenya, na sasa hakuna kuingia USA, na wanavyopenda kusafiri kwa Muzungu lazima watachanganyikiwa,

Shida yako ni akili kichaa.
Kenyans are celebrating this news more than the always bitter and jealous bongolalas.
 
Dah! Hii kali, eti Wakenya wamezuiwa kuingia USA, jameni Wakenya wote tumeisha, hatutaruhusiwa kuingia US tena, ndege zetu za direct flight to USA ndio basi.....mamayeee tulikosea wapi....
Safari za KQ kuenda New York zimeisha hivyo tu. Aisee hahaha! :D Ila wamefanya jambo la busara sana, ningependa nchi zingine pia ziwapige marufuku hawa mafisadi kufika kwenye nchi zao.
 
Back
Top Bottom