msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
...waaaooo ..! What a good news ! Yaani watu tunaumiza vichwa tutafikaje kwenye mabaa, madanguro,vijiwe vya unga,nyumba za wasioamini,wajahidina n.k,kumbe njia nyepesi ni muziki..!, kwa moyo wa dhati kabisa naipongeza hiyo bar. Na naziomba bar zote ziige mfano huu bora wa kuwapa habari njema walevi wote...
imenikumbusha guest house za Tabora ,, biblia za gibson mezani na condomu pembeni,, watu wamegeuza Mungu shemeji yao,, kidemu wakati kinakusubiri umalizie funda la bia kinakula andiko,,,,,, mwe!!!! siku Yesu akirudi itakuwa balaa