Muziki wa Injili Katika ''Kilabu cha Pombe''...!!!

Muziki wa Injili Katika ''Kilabu cha Pombe''...!!!

Hiyo ni biashara tu km nyimbo nyingine kwani hata gesti watu wanapigana miti huku muziki wa aina hiyo unatumbuizwa,
Ni namna ya kutokea kimaisha na siyo mahubiri hayo. Muziki hauna tofauti na bolingo!!
 
Acha waziweke, injili inahubiriwa mpaka kilabuni! Hakuna atakaesema sikusikia siku ya hukumu itakapofika. Isitoshe Mungu hatishwi na dhihaka za wanadamu.

Injili bila mipaka !............kie kie kie kieeee !
 
Yesu alikuja kwa ajili ya watu waovu waamini na waokolewe....

Ila Nyimbo za dini sikumingi zimekaa kama za Shetani midundo ya danci na si za kutukuza... zinafaa kupigwa huko
 
Samahan wadau mnaoshiriki katika hii mada
Mimi bado nahitaji kujua uhalali wa hizi nyimbo kutumbuizwa bar, night club nk
wanaojua mambo nawaomba mnifafanulie zaidi wandugu ili nipate kujua, kuelewa na kushawishika ili kuepuka kila mtu kujibu kwa utashi wake unampeleka wapi bila kujali Mungu analichukuliaje jambo hili with evidence kutoka kwenye vitabu

Ukiristu umerahishwa ili uwe karibu na mambo. ya kidunia !
 
Ukiristu umerahishwa ili uwe karibu na mambo. ya kidunia !
UISLAM UMERAISISHWA ILI UWE KARiBU NA MAMBO YA KISHETWANI NA HAYA NDIO MAMBO YA KISHETANI
1. Pepo ya waislamu
haijazungukwa na mito
ya pombe?
2. Mtume hajawahi kuoa
katoto ka miaka 6 pia
hajawahi kuzini na
house girl?
3. Shetani
hakusilimishwa na
muhamad akawa
musilamu?
4. Waandishi wa quran
hawakuwa walevi na
walikufa wakiwa walevi?
 
Imeandikwa 'yesu' aligeuza maji kuwa pombe! So, injili na pombe vinakwenda sawa tu hamna shida!
 
hiyo mkuu ndiyo injili,itahubiliwa kote duniani ili wote waisikie,ili siku ya mwisho kusiwepo amtu atakayesema sijaisikia.
Wadau wa JF ningependa kushare nanyi hiki kisa nilichokutana nacho asubuhi hii baada ya kuingia katika bar moja hapa Mbagala Charambe ili kupata supu. Kilichonistua ni kukuta katika hiyo bar zinapigwa nyimbo za injili, na walevi wachache waliokuwa wamepambazua wakijitahidi kufurahia nyimbo hizo kwa kuziimba kwa kuigilizia.

Pamoja na furaha hiyo ya walevi lakini kitu kibaya zaidi walikuwa wanaimba nyimbo hizo kwa kuzi abuse. Wanabadilisha baadhi ya maneno na kuimba matusi.

Kwakweli Jumapili yangu leo nimeianza kwa kustaajabu huu ujasiri wa hawa wamiliki/waendesha vilabu vya pombe kumdhihaki Mungu kwa kiwango hiki.

Nawatakieni jumapili njema raia wote. Msisahau kufanya ibada!
 
UISLAM UMERAISISHWA ILI UWE KARiBU NA MAMBO YA KISHETWANI NA HAYA NDIO MAMBO YA KISHETANI
1. Pepo ya waislamu
haijazungukwa na mito
ya pombe?
2. Mtume hajawahi kuoa
katoto ka miaka 6 pia
hajawahi kuzini na
house girl?
3. Shetani
hakusilimishwa na
muhamad akawa
musilamu?
4. Waandishi wa quran
hawakuwa walezi na
walikufa wakiwa walevi?

ushahidi uko hapa
www.bibleprobe.com
 
Imeandikwa,"enendeni mkaihubiri injili duniani kote" nina uhakika hapo kilabuni ni sehemu ya dunia,hizo nyimbo za dini ni mahubiri hayo.
 
Mi nafikiri ninyi wenzetu wakristo waadhi yenu muna utani na mungu wenu au ni ukosefu wa imani ya kweli ya dini maana hata mimi sikumoja nilishuhudia kaswida zinapigwa baa uchungu niliokuwa nao nilitamani kumuumiza mtu pale lakini nikakumbuka nina watoto nyumbani ila nilimuomba mungu ampe laana mtu yule na nikapigana na nafsi yangu.
 
tofauti ni kwamba, sisi (wakristo) hufikiri clockwise wakati nyie hufikiri anticlockwise
 
Hukumu ni kazi ya Mungu. Mimi namshukuru sana huyu mwenye bar. Ikiwezekana siku nzima na kila siku aendelee kupiga huo muziki wa injili kwa sababu kupitia nyimbo hizo wengine wataokolewa. Kanisani hwaendi, mikutano, semina hawaendi, watahubiriwa wapi kama sio kwenye mabaa na kwenye misiba? Wacha wapate bia kwa mdomo na injili kwa sikio. Kama wana abuse usijali walianza kwa Yesu mwenyewe lakini anabaki wa kuaminiwa. Mungu wabariki sana.
 
Wadau wa JF ningependa kushare nanyi hiki kisa nilichokutana nacho asubuhi hii baada ya kuingia katika bar moja hapa Mbagala Charambe ili kupata supu. Kilichonistua ni kukuta katika hiyo bar zinapigwa nyimbo za injili, na walevi wachache waliokuwa wamepambazua wakijitahidi kufurahia nyimbo hizo kwa kuziimba kwa kuigilizia.

Pamoja na furaha hiyo ya walevi lakini kitu kibaya zaidi walikuwa wanaimba nyimbo hizo kwa kuzi abuse. Wanabadilisha baadhi ya maneno na kuimba matusi.

Yanatokea hivi makusud ili NENO LITIMIE. hata kipindi cha sodoma na Gomora walifanya saana kwa hiyo si mageni,,,, Ila siku yaja.
 
Back
Top Bottom