2017 Ali Kiba atasubiri Sana kwa Darasa. Ah! Sorry, I mean Diamond atasubiri Sana.
Daah. Mkuu wangu ina maana huyu mtoto umembeba kiukweli kweli.?
Hahahahah! Shukrani Mkuu..Daah. Mkuu wangu ina maana huyu mtoto umembeba kiukweli kweli.?
Hongera sana na Heri ya Mwaka Mpya
Gaidi Sela kishavuna kwenye shamba lake pale sasa hivi yupo busy na mashamba yake mengineTatizo anaweza akawa kama Yamoto Band.
Sasa hivi wako wapi?
Afu we Aishaa,
Tatizo umemjua Darassa baada ya kuusikia wimbo wa Muziki ila kinyume na hapo usingesema namna hii.Hao kilaudz kawaida yao walipromote singeli mwisho wa siku chali hamna cha manfongo wala sharomwamba wamepotea kama kaburi LA faru John sijui baada ya sikukuu darasa atakuwa katika hali gani
Mkuu achana nae huyo kaujua muziki juzi huyoTatizo umemjua Darassa baada ya kuusikia wimbo wa Muziki ila kinyume na hapo usingesema namna hii.
Mtu alietoka hit song yake ya Kwanza Mwaka 2012 na ndani ya mwaka 2016 Peke yake amedondosha hit song 3 tena akiwa msanii wa hip hop huwezi kumfananisha na Kina ManFongo.
kuna watu walienda deep kujifanya wanunuzi wa simu..hivi ile simu ndio ulimleteaga kama zawadi eeh.?Hahahahah! Shukrani Mkuu..
Heri ya mwaka mpya kwako pia kiongozi..