Muziki wa darasa wapigwa baada ya taarifa ya habari Clouds

blooms

Member
Dec 20, 2016
52
125
Kama ni kuaga Mwaka darasa wimbo wake umetushika vilivyo.. .ni baada ya watayatishaji wa vipindi clouds TV kuonekana katika taarifa ya Khabar wakiwatakia watazamaji heri ya Mwaka Mpya kwa kucheza wimbo wa darasa Ndani ya dakika zisizo pungua dakika tatu 3,

Darasa.. .
Mwaka ujao uwe zaidi ya hapa
 
evart

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
3,097
2,000
Hao kilaudz kawaida yao walipromote singeli mwisho wa siku chali hamna cha manfongo wala sharomwamba wamepotea kama kaburi LA faru John sijui baada ya sikukuu darasa atakuwa katika hali gani
 
mzaramo

JF-Expert Member
Sep 4, 2006
6,343
2,000
Hao kilaudz kawaida yao walipromote singeli mwisho wa siku chali hamna cha manfongo wala sharomwamba wamepotea kama kaburi LA faru John sijui baada ya sikukuu darasa atakuwa katika hali gani
Tatizo umemjua Darassa baada ya kuusikia wimbo wa Muziki ila kinyume na hapo usingesema namna hii.

Mtu alietoka hit song yake ya Kwanza Mwaka 2012 na ndani ya mwaka 2016 Peke yake amedondosha hit song 3 tena akiwa msanii wa hip hop huwezi kumfananisha na Kina ManFongo.
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
16,425
2,000
Tatizo umemjua Darassa baada ya kuusikia wimbo wa Muziki ila kinyume na hapo usingesema namna hii.

Mtu alietoka hit song yake ya Kwanza Mwaka 2012 na ndani ya mwaka 2016 Peke yake amedondosha hit song 3 tena akiwa msanii wa hip hop huwezi kumfananisha na Kina ManFongo.
Mkuu achana nae huyo kaujua muziki juzi huyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom