Mkuu, hii kitu imepigwa marukufuku... Umerudi Leo kutoka mtoni?Ya plastic bag sana sana hii ya hamsini hamsini ndio inafaida kubwa kwa haraka
Hata mi namshangaa huyu jamaa sijui katoka wapi ... mifuko ya plastic tenaMkuu, hii kitu imepigwa marukufuku... Umerudi Leo kutoka mtoni?
Bado sana serikali mpaka ifungie lazima watafute njia mbadala ndipo waweze kufungia
Kwahiyo unatafuta mtu akupe mil 10 zake ili ucheze bahati nasibu na serikali sio?Bado sana serikali mpaka ifungie lazima watafute njia mbadala ndipo waweze kufungia