Muwe mnasema jamani;

Kama unampenda utamjua. Na ukimjua hakuna sababu za kuulizana maswali. Tatizo wengine mnakuwa busy kutimiza haja zenu afu mkimaliza mnaanza maswali 'umefika?' kufika wapi. If you real know your woman, trust me, you will never ask.

Unanidai like wallaih natumia kitochi kqa sasa....safi sana,baeleze baelewe!
 
baadhi ya wanaume ukiwaambia hivyo badala ya kutafuta sokutiin atakuona wewe kicheche....

Mwingine ukimwambia ndo utatafuta kero uya kuchungwa kama mbuzi.....kisa atahofia kuibiwa

kwa hiyo inategemea na aina ya mwanaume.... Ukiona hajiamini sana( na ukitaka kuua confidense ya baadhi ya wanaume mwamhie hujafika, au mwambie dudu yake kibamia) heri mnapofanya tendo la ndoa tumia mbinu zako za kumsaidia asifike upesi au tumia utundu uwahi kumaliza..........

Lakini kazi inakuja kama mwanaume anaenda mwendo mreeeeefu lakini hamsugui na kumgusa bibie kunapo......... Walaaahiiiii hapa inabidi umwambie tu machejo yako yoooote umekosa....
 
Kuna mke alikuwa anaangalia kipindi cha mapishi, mumewe akakasirika,akasema, “yani wewe unaangalia kipindi wee lakini bure tuu hujui kupika!!“

Mke akajibu, “mbona wee unakesha unaangalia porn movies afu kitandani haujui kitu?“

Palichimbika!!
 
he he he he Kaunga pole
labda jaribu yule mganga wa Kimanzichana, King'asti anapajua lol

unatabadili mabucha sana mwaka huu, tulia na Eiyer tu.
 
Last edited by a moderator:
. heri mnapofanya tendo la ndoa tumia mbinu zako za kumsaidia asifike upesi au tumia utundu uwahi kumaliza..........

nimeipenda hii participatory approach... both partners need to be part of the thrill, siyo mwingine anakula 'newz' za udaku anasubiri kufika
 
mim naamin mkeo or dem wako unayemjua vizuri ikifika wew mwanaume utajua na kama umeunderperfom huna budi kutafuta visababu vya kudanganya ooh leo nimechoka sana mengneo, wanawake wanaogopa kusema kwan hajafika na mzee ndio kesha lala hata akisema gemu nyingne ni wiki ijao or mwakani inakuwa bure
 
Aya mambo sometimes ni bora usiambiwe mana yawezekana hujawahi kuridhisha toka muanze uhusiano, so akikwambia si utazimia
 
mie sitakaa niseme,nikiona hunifikishi natafuta kiserengeti cha kunifikisha,vile huwa vinajituma sana satisfaction guaranteed......:whistle:
 
Hivi ni mpaka msubiri kuambiwa?? nyie wenyewe hua hamuwezi kusoma alama za nyakati??
 
wanamme wengi ukiwaambia unagusa 'Ego' yao haswa.
Kongosho, Nyamaume makini lazima ijue kama imemfikisha mwenzie Kilimani mwake. La sivyo shurti iulize, "sweetie umefika jamani". Kama haifanyi hivyo lazima igongewe tu. lakini nanyi lazima muwe wakweli kama unataka staili mpya, unataka usagwe tu na mumeo/bf unasema tu sio kubaki na kijiba cha roho.

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Myanaume ya kiafirika, ukiifundisha staili mpya inasema umecheat.
Hata kama umesoma kwenye kijarida haitaelewa, utasikia imesinyaa tu.

Siku zote wanataka 'to take the lead'

Kongosho, Nyamaume makini lazima ijue kama imemfikisha mwenzie Kilimani mwake. La sivyo shurti iulize, "sweetie umefika jamani". Kama haifanyi hivyo lazima igongewe tu. lakini nanyi lazima muwe wakweli kama unataka staili mpya, unataka usagwe tu na mumeo/bf unasema tu sio kubaki na kijiba cha roho.

Ndimi Bazazi!
 
mie kipindi hichoooooo sijaolewa nilikuwa kwanza ukishamuona mwanaume anafuga kucha, jua hapo hamna kitu! maana raha ya kula bungo ni kuchokoa kwa vidole kisha urambe! sasa wewe mwenzangu vidole vyote vitano vina kucha utasema mpima unga wa sao paulo, bungo utarambaje kama sio kulichubua! mi nikishaonaga hivyo hata kinyasa sivui, najua hapa ninywe tu amarula zangu nisepe, niangalie mbele usawa wa bahari unasemaje! sasa kwa hali hiyo nitakwambiaje ubonyeze hapa na pale wakati we mpima unga!??? bora kukaa kimya kusoma alama za nyakati!
 
Back
Top Bottom