Muwe mnasema jamani;

Kwa kweli mapenzi sio tu kupendana pia hekima ya Mungu ,niwaambieni wakuu hakuna kitu kinachomuuma binadamu kama kumwambia mapungufu yake ,hasa katika suala zima la mapenzi,mfano rahisi sana mtu akakuambia wewe ni mbaya ,una umbo baya wengi hasa wanawake hujisikia vibaya sana .katika vitu naogopa sana kusema ni hilo hata najua kama haniridhishi kwa leo najua sio siku zote sikukuu,da nahisi atajisikia vibaya huyo mume na atawaza umepata mwingine anaekutosheleza haya sasa kibao kinakugeukia tena jamani na siunajua tunaonewagwa saa nyingine ,inaweza ikakuletea ukakosa amani na anaweza kuyakuza weeeee du kuficha aibu.kwa upande wangu mapenzi sio kitu nimekipa kipaumbele sana kwa hiyo sipendi kumpa mtu mtihani atashindwa hata kuniangalia vile,nafikiri huo ndi utakuwa uwezo wake kubaliana nao tu tumia mbinu yyte aelewe sio kumwambia live vile japo hao wanaume huwa wanatuaibisha sana anaweza sema popote mwone huyu hajui mapenzi ,
 
Kuna mke alikuwa anaangalia kipindi cha mapishi, mumewe akakasirika,akasema, “yani wewe unaangalia kipindi wee lakini bure tuu hujui kupika!!“

Mke akajibu, “mbona wee unakesha unaangalia porn movies afu kitandani haujui kitu?“

Palichimbika!!


ahahhahah....loh! kazi kwelikweli.
 
Eti, sababu hasa ya kinadada kutokuwa wawazi pale wapenziwao wanapokuwa hawawafikishi ni nini hasa??? Kwanini huwa wanapenda kuumia kimyakimya??

Kwasababu kwa mwanaume making love ni jambo nyeti na muhimu na huamini yeye ndo best perfomer, sasa kumwambiwa haperfom vizuri ni kuchallenge uanamme wake na ujiandae kwa songombingo, hivyo wanawake kwakuwa hawataki shari wanavumilia tu ..useme halafu uambiwe una mtu anayekufikisha huko nje akhha!
 
Myanaume ya kiafirika, ukiifundisha staili mpya inasema umecheat.
Hata kama umesoma kwenye kijarida haitaelewa, utasikia imesinyaa tu.

Siku zote wanataka 'to take the lead'

Well said Kongosho my sis...their ego is huge than ocen itself
 
hawapendi kusema wanataka wewe ujue bila wao kusema..... ndio raha kwao.....
The Boss umeongea ukweli. Kwnye mapenzi creativity is needed. Lazima mwanamume ugundie ni sehemu gani your desh desh akiguswa au akifanyiwa anafika climax. Spoon feeding kwenye 6 by 6 hainogi.
 
Back
Top Bottom