Muwe mnajiongeza jamani

Muwe mnajiongeza jamani

Kama nna shida nta bisha hodi tu asee
Labda uandike pale mlango

"Closed" au uandika "Mekwe"
Umewaza kama mimi.
Kwani lazima kila jinsia mbili zikiwa ndani ziwe zinafanya shughuli pendwa? Pengine ni marafiki tu wanapiga zao stori.
 
Hahahaha yani we ni hufai siku nyingine hata ukigonga hufunguliwi,ukipiga simu hupokelewi
Ah! We Jolie Jolie inaelekea hujawahi ishi na akina Roho ya Kwanini wewe! Mkijifanya kukausha; litarushwa jungu gizani hapo na lazima mlango ufunguliwe huku mmoja akiwa kanuna!!
 
Umewaza kama mimi.
Kwani lazima kila jinsia mbili zikiwa ndani ziwe zinafanya shughuli pendwa? Pengine ni marafiki tu wanapiga zao stori.
Hahaha na mlango wamefunga
 
Ah! We Jolie Jolie inaelekea hujawahi ishi na akina Roho ya Kwanini wewe! Mkijifanya kukausha; litarushwa jungu gizani hapo na lazima mlango ufunguliwe huku mmoja akiwa kanuna!!
Hahahahahahahahha hivi sasa ukiulozwa shida yako nini utawajibu nini?
 
Back
Top Bottom